Nasema hivi, Mume anauma!

"Mtume" yupi uliyemuona rangi yake?
 
Kabisa Mamy katumia njia mbaya kumaliza tatizo.
 
Na ukionaa wanawakee au mwanamke amerelax kwenyee usaliti hasa kwa dunia ya sasa ujuee anacheat back...😄😄😄wenyewe wanasema ubaya ubwelaa🙌🙌
 
Kwa kweli Mjukuu, nahisi Kuna training wana-attend hawa mabinti virtual maana hawaoni shida kumliza Mzee wa Umri wangu

Bora tubaki na TZA zetu tu lakini sio hawa wa 2000 😜🙌
Utagawq card ya TPB babu,ile pension yako inapita kila mwezi😄
 
Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.

Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
Njoo nikurudishe utotoni.
Mke akicheatiwa huwaza labda anaonwa amezeeka, labda sio mtamu kama mwanzo, labda havutii tena. Njoo nikufanye ujisikie mpya.

Ila nyinyi wanawake hapana. Hapa unalalama, ila yakwako yakiwekwa wazi ni aibu.
Ile mbuzi nilivyokua naijali, naikuta inachat upumbavu kwa lugha ya kijerumani na yule banker. Fakeni kabisa.
 
Tuzo gani na kasema yuko na ex muwe mnaelewa kauli ya mkuki kwa nguruwe au mwizi aibe lkn akiibiwa....
 
Ndio uache kufukunyua simu za watu. Ona sasa unapata pressure sababu ya mtoto wa mama mkwe. Yaani ulikuwa unajua uko peke yako?
Kuna jirani yangu alikufa mwezi wa 2 kwa ugonjwa wa moyo baada ya kugundua mume wake ana mchepuko wamezaa watoto 6. Kazi kweli. Siwezi kufa kwa ajili eti sijui mtu anachepuka. Maisha ni zaidi ya mahusiano ya kimapenzi
 
Men are polymers by nature,Anza na kuku Hadi wanyama wengine,dume moja majike 100,wewe endelea kupingana na nature tuone utafika wapi,you can't go against nature
Doze ya pilau yenyewe huwezi kula.mwezi mzima inachosha mwenyewe utasema hebu tule na ugali wa ulezi kidogo,nature is full of fate.
 
Hiyo itakutesa sana, dawa mpk ulipize trust me honey 🤣🤣🤣
Kwamba akitombwa nje ndo ishu ya mume kumcheat itajifuta ili awe salama kama anahis hawez endelea kuwa nae amuache akatafute mtu mwingine waanze upya mana huyo anaeenda kumchimba ni mwanaume pia na yuko na wanawake wengine fikirini kabla ya kutenda siungi mkono usaliti ni kigundua taraka 3 zina muhusu mtu
 
Mm siamin kma umemkomoa huyo memeo.Ila naona unajitesa na utakuja kujiua 7babu hakuna mwanaume mwenye mwanmke1.Lijue hilo kikubwa anacho tkiwa hakuheshimu kma mke wake kwa kukuonesha
 
Huyu hajawahi kupigwa matukio ya kufululiza. Yaani unapigwa matukio kiasi kwamba mwili na moyo vinakufa ganzi hata uitwe njoo umuone mumeo huku ananyanduana na mtu nyumba ya jirani ndo kwanza unavuta blanket unakoroma vizuri kabisa.
Duh pole sana kumbe watu mna visa na mikasa ya kuogofyaa
 
Na kingine kma hakijua kma umetia kirus kweny cm ili udukue habar zake nikosa na wenda kosa likakugeukia ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…