Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kama kuna wine unashushia kwanza😀. Ili usingizi unogeDuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna wine unashushia kwanza😀. Ili usingizi unogeDuuh
Hasira zikwapi ndugu yanguWatu mna hasira relax Demi
Acha tu mkuu. Yaani mimi hakuna cha kunishtua. Nipo cool hadi mwenyewe anashangaa. Sina wivu hata arudi asubuhi siulizi chochote maisha yanaenda.Duh pole sana kumbe watu mna visa na mikasa ya kuogofyaa
Akitaka anachopewa kule upo tayari kumpa pia?!Mi hata simuombei mabaya. Ila aniachie huyu baba jamani, sio issue
Kwani wa 2000 Sasa si ni 24? Safi TU siyo teenager huyoKwa hiyo dada mume wako anapiga deki mtoto wa 2000?
Unaongea kwa uzoefu au?Kama kuna wine unashushia kwanza😀. Ili usingizi unoge
Toa mali wewe. Unampa point mwenzako mapema sana.Naanzaje na moyo umevunjika Mkuu. Mi nataka aachike tuanze upya kujenga maana sahv ndoa hamna hapa. Naumiaaaa
Basi nipe contact zako nije tufanye kisasiNiwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.
Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
YeahUnaongea kwa uzoefu au?
Ooh poleeYeah
Kawaida😀Ooh polee
Pole mkuu...Yeye mbona kanivuruga bila huruma Mkuu
Wee wakati huko mtaani wanasema hawajali wala nini!!!Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Akikujibu unitag chiefZurie pole kwa changamoto.
Je, umewahi kuwaza ikitokea mmeo akajua kuwa uliwasiliana na Ex wako kupanga mipango mliyopanga atajisikiaje!!!?
Atafikri nini juu ya hayo mawasiliano na huyo Ex Wako!?
Nadhani hukupaswa kumuingiza mtu mwingine kweye hili suala lako wachilia Ex wako.
Bado naamini njia nzuri ilikuwa kumtafuta hiyo binti (kwa siku au physically) na kumpa onyo kali ambalo litamfanya amwambie mmeo kuwa IMETOSHA.
Watakuambia hujalipia hili tangazoNiwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.
Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
I will be everything in this world except a woman who confronts another woman kuhusu mwanaume. Hii ni principle yangu, najua ndivyo watu hufanya ila mimi milele sitofanya.Zurie pole kwa changamoto.
Je, umewahi kuwaza ikitokea mmeo akajua kuwa uliwasiliana na Ex wako kupanga mipango mliyopanga atajisikiaje!!!?
Atafikri nini juu ya hayo mawasiliano na huyo Ex Wako!?
Nadhani hukupaswa kumuingiza mtu mwingine kweye hili suala lako wachilia Ex wako.
Bado naamini njia nzuri ilikuwa kumtafuta hiyo binti (kwa siku au physically) na kumpa onyo kali ambalo litamfanya amwambie mmeo kuwa IMETOSHA.
Na ni haki yao kulipiza au kutojali sababu inakera sana, inaumiza na it is sooo unnecessary.Wee wakati huko mtaani wanasema hawajali wala nini!!!
Eti mwingine anatafuta kidumu alipize kisasi... Hapo ndo ninapochoka..
MUME ANAUMA NAKAZIA
Sent using Jamii Forums mobile app