Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Simba na Yanga = Tanzania FootballYaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.
Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa barani afrika, wana wachezaji wazuri kuliko hata wale wa Mamelodi, wao wamewekeza sana kwenye ubora wa wachezaji, sio sisi tumewekeza mno kwenye mganga.
Waaminisheni watanzania kuwa kesho kushinda lazima halafu msishinde mtajua kama hamjui.
tumekusikiaYaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.
Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa barani afrika, wana wachezaji wazuri kuliko hata wale wa Mamelodi, wao wamewekeza sana kwenye ubora wa wachezaji, sio sisi tumewekeza mno kwenye mganga.
Waaminisheni watanzania kuwa kesho kushinda lazima halafu msishinde mtajua kama hamjui.
Hawa lambalamba ni wa kawaida tu.Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.
Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa barani afrika, wana wachezaji wazuri kuliko hata wale wa Mamelodi, wao wamewekeza sana kwenye ubora wa wachezaji, sio sisi tumewekeza mno kwenye mganga.
Waaminisheni watanzania kuwa kesho kushinda lazima halafu msishinde mtajua kama hamjui.
Sasa hao Azam nani kawakataza kuwakabili hao mamelodi? Kama azam ndo wenye uwezo peke yao, nani kawapendelea Yanga na kwanini?Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.
Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa barani afrika, wana wachezaji wazuri kuliko hata wale wa Mamelodi, wao wamewekeza sana kwenye ubora wa wachezaji, sio sisi tumewekeza mno kwenye mganga.
Waaminisheni watanzania kuwa kesho kushinda lazima halafu msishinde mtajua kama hamjui.
Malaria yako imefika utosini tayariYaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.
Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa barani afrika, wana wachezaji wazuri kuliko hata wale wa Mamelodi, wao wamewekeza sana kwenye ubora wa wachezaji, sio sisi tumewekeza mno kwenye mganga.
Waaminisheni watanzania kuwa kesho kushinda lazima halafu msishinde mtajua kama hamjui.
Mleta mada ni Mwehu siku nyingi usisingizie hizi Mechi 2.Mpk mechi hizi ziishe watanzania mtakua wengi mshawehuka
Hahahahaha..kumbe kitambo zishafyatuka?Mleta mada ni Mwehu siku nyingi usisingizie hizi Mechi 2.