Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

Simba mmezidi kuwa na wapumbavu Sana!.
 
Yaani Timu kubwa hazipo huku unawazungumzia Azam ambao walitolewa na Timu kutoka Ethiopia huko tushasahau kabisaa..
 
Kama kawaida Mzee wa kuharisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…