Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Walemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu. Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala Ila wazee hapana.

Mitaani kuna magari hadi milioni tatu, bodaboda used mpaka laki sita, hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda.

Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa kupambana na maisha hata katika uzee wao.

Kuwapisha siti ni kuwadekeza na kuwafanya wabweteke. Vijana pambaneni msitegemee hisani ya kupishwa siti uzeeni

Mimi hata ukija na miaka 89 sikupishi nakuangalia macho makavu sikupishi
We kula bata ujanani ila jua uzeeni tutakutana kwenye daladala.

Uzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.
Wewe unawaza sawa na huyu
[emoji116]
JamiiForums-1894495269.jpg
 
Kifupi vijana wengi wa sasa hivi legelege kama mlenda sio vikakamavu ndio maana vinapenda kukaa tu kwenye viti kama vibwege haviwezi Simama hata saa moja kwenye basi vitaanza kulia mma
hasa vya Dar es salaam vya kiume hivi vivaa milegesheo, vya kike Walau vinajitahidi kupisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Kumpisha mzee kiti sio kwasababu ya uzee wake. Ni heshima. Nakumbuka kuna mwaka mmoja hivi nilikuwa natoka dsm kwenda iringa. Tulipofika pale Kibaha akapanda dada mmoja alikuwa mnene sana. Ila umri naweza sema nilikuwa nimemzidi au tumelingana. Gari ilikuwa imejaa. Suka akaanza kugonga gear.
Kila nimwangalia naona kabisa hawezi kufika morogoro. Jasho lilikuwa linamtoka. Kila mara akitaka vioo vifunguliwe apate upepo kidogo.

Nikampigia hesabu. Tulipofika bwawani nikamwambia njoo upumzike hapa. Wallah baada ya muda mchache sana akalala kama kalishwa dawa za kulevya. Ile siti nikamwachia mwanzo mwisho.

Alipofika safari yake akanipa 10k.
Angeanguka kwa presha huyo ulimuokoa sana
 
Umechanganyikiwa Mkuu!

Sina uhusiano na mto Mada.

Hata hivyo mtoa mada ametoa maoni yake hivyo yupo Sawa Kwa Uelewa wake.

Mtoa mada pia anajaribu kuwaambia Vijana wajiandae vyema na siku za uzee wao.

Mengine uliyoyasema kuhusu Mimi ni mtazamo na jinsi Uelewa wako ulivyo. Hivyo upo Sawa Kwa akili Yako
Dah naona wamekuangushia jumba bovu,nimeamini hata magereza kuna watu wamesingiziwa kesi
 
Hzo ni story za vijiwen hazna ukweli wowote labda kama ilikua ni intavyuu ya saidia fundi

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hauelewi interview za private companies mwisho wa siku unakutana na mtu mmoja tu kwenye oral interview na nyingi hukodi wazee wastaafu wabobezi area husika kusaidia hilo huyo mtu nimekupa mfano aliomba kazi ya ufundi magari kampuni ya usafirishaji mizigo ndio akakutana na huyo mzee fundi magari wa siku nyingi mstaafu kwenye hiyo kampuni ndio aliitwa aje awafanyie oral nterview hao mafundi waombaji

Usichanganye na serikalini ambako interview panel wanajaa chumba kizima sababu ya posho wanazolipwa kila mtu anataka awepo kwenye interview panel wakati hajui chochote kuhusiana na hiyo field ya waombaji Kakaa tu kama bwege
 
Mimi huwa naangalia huyu nikimpa papuchi ataweza kucheza nayo? mind ikiniambia Yes simpishi ng'oo......... Kama ni mwanamke na anaonekana mzee huwa nampisha huku moyoni nikisema anaweza kuwa nyanya yangu au mama nanyanyuka charp
 
Dah we noma kwa hiyo ukiona huyu mzee anaweza piga show ukimpa 😀😀
 
Kipindi cha ujana wao wenzao walikua wana pambana kutafuta wao walichojua ni kuchomekea na kucheza disco vumbi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sio wazee wote unaowaona walikuwa wanakula bata ujana wao ila wengine walikuwa mishahara yao inalipa Ada za ndugu halafu ndugu walipopata kazi za maana wakawatupa

Kuna mzee alikuwa waziri na Mbunge alisomeshwa na ndugu yake wa damu ila baada ya kufaulu vizuri na kuwa na kazi nzuri hakumsaidia ndugu yake kabisa kisa eti mlevi

Wote wametangulia mbele ya haki ila hakumtendea haki ndugu yake

Na hao ndio wakipanda bus unamhukumu na kusema ujana aliumaliza kwa raha kumbe ni kuhangaika mwanzo mwisho mpaka kaburini
 
Ndio wazee wengi wana nguvu ndio maana hata wasipopishwa kiti wanasimama hadi mwisho hawaanguki chini kwa vichovu

Fuatilia vizuri basi hata lijae vipi wazee waliosimama wima huwa hawatoki mijasho lakini vijana mijasho kibao na hulalamika kuwa wanashindwa kupumua vizuri.

Stamina ziko chini kwa vijana wengi huo ndio ukweli na inasababishwa na vyakula legelege wanavyokula na behaviour legelege kwenye maisha kama hiyo ya kushindwa kusimama kwenye daladala hata saa moja tu hawawezi
Kutoka jasho kunategemea. Kuna watu wana overactive sweating glands kitaalamu ni Hyperhidrosis. Yaani anaweza asiwe anafanya lolote lakini ana sweat profusely hasa sehemu zenye joto kama Dar na Pwani.
 
Sio wazee wote unaowaona walikuwa wanakula bata ujana wao ila wengine walikuwa mishahara yao inalipa Ada za ndugu halafu ndugu walipopata kazi za maana wakawatupa

Kuna mzee alikuwa waziri na Mbunge alisomeshwa na ndugu yake wa damu ila baada ya kufaulu vizuri na kuwa na kazi nzuri hakumsaidia ndugu yake kabisa kisa eti mlevi

Wote wametangulia mbele ya haki ila hakumtendea haki ndugu yake

Na hao ndio wakipanda bus unamhukumu na kusema ujana aliumaliza kwa raha kumbe ni kuhangaika mwanzo mwisho mpaka kaburini
Wa aina hiyo wapo wengi mkuu,wema usizidi uwezo,jali wazazi wako,wanao na mke kwanza,ile surplus ndio usaidie ndugu,ndugu hawana shukrani
 
Back
Top Bottom