Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Na wewe jiweke karibu na bibi mkuuHalafu vibabu vikikaa na pisi kalii, vinatoa simu vinampa demu, vinamwambia jihamishie hela kutoka benki kiasi utakacho, password ni mwaka wangu wa kuzaliwa 1947
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe jiweke karibu na bibi mkuuHalafu vibabu vikikaa na pisi kalii, vinatoa simu vinampa demu, vinamwambia jihamishie hela kutoka benki kiasi utakacho, password ni mwaka wangu wa kuzaliwa 1947
Ndivyo unavyohalalisha umaskini wa miongo kadhaa uliosimikwa na chama chako?Kifupi vijana wengi wa sasa hivi legelege kama mlenda sio vikakamavu ndio maana vinapenda kukaa tu kwenye viti kama vibwege haviwezi Simama hata saa moja kwenye basi vitaanza kulia mma
hasa vya Dar es salaam vya kiume hivi vivaa milegesheo, vya kike Walau vinajitahidi kupisha
🤣🤣🤣 Hii comment niliiona kule kwenye uzi wa vituo ililetwa na mshana nikajiuliza bujibuji ameijibu wapi?Halafu vibabu vikikaa na pisi kalii, vinatoa simu vinampa demu, vinamwambia jihamishie hela kutoka benki kiasi utakacho, password ni mwaka wangu wa kuzaliwa 1947
HAKUNA LAANAMadhara ya kuzaa watoto mijini hawajui Mila zao hawa ndio unakuta Kaka anamla dadake au baba linakula bintiye mama analiwa na mwanae.
Kizazi cha nyoka wanasahau uzee utajikuta tu. Tunaishi na wazee wetu they were once handsomest and beautiful creatures lakini uzee ni uzee tu.
Maisha ni safari, unaweza kuchuma ujanani na ukaishi vizuri Ila ikakutokea ajali ya maisha,
Wazee walisema, usitukane ukunga ingali uzazi ungalipo. Kuna siku aliyeandika hii thread atajikuta anajilaumu sana maana maisha ni safari ndefu.
Nina umri mchache Ila nimeona watu walikuwa matajiri na wakadhulumiwa, wakafilisiwa na wake zao, wakanyang'anywa Mali na serikali, wakaumwa mpaka biashara zikafa, wakakabidhi ndugu wakaziua zote, Yani mifano ipo hapahapa duniani.
So ukiwa na bahati ya kupata uzee wenye ahueni kimaisha shukuru Mungu na usikufuru wasionacho maana hawakupendan
Hakuna kitu kibaya kama uwe mzee na huna pesa maana ndio umri ambao magonjwa ni mengi, upweke, vijana ndio hawa wanapoona mzee wanahisi age tu hana maana ya kuishi.
Tusijitafutie laana tukaishi kwa tabu duniani.
Unajengewa chuki na mama yako dhidi ya baba yako na wewe unaingia mkenke pasipo kujua.Wazee wengi wamekula ujana sana asikudanganye mtu .fainali uzeeni
Yeye ndiie kuanzisha kupitia ID nyingine
Huu uandishi ni wa kwake angalia vizuri utagundua hii mada kaanzisha yeye ni kama kuna uzi fulani kichwani kwake hauko sawa mwenye simu ya hospitali ya vichaa mirembe ampe kuna siku atahitaji kuwasiliana nao.Mark my words
Kwan dunia nzma ye ndo ana mtoto wa kike peke ake?We kataa kuwapisha halafu siku ya kujitambulisha ukute yeye ndo Baba mkwe
Unajiunga mkono mwenyewe kwenye mada yako mwenyewe uliyoanzisha kwa ID nyingineUmechanganyikiwa Mkuu!
Sina uhusiano na mto Mada.
Hata hivyo mtoa mada ametoa maoni yake hivyo yupo Sawa Kwa Uelewa wake.
Mtoa mada pia anajaribu kuwaambia Vijana wajiandae vyema na siku za uzee wao.
Unajiunga mkono mwenyewe kwenye mada yako mwenyewe uliyoanzisha kwa ID nyingine
Eti miaka 120[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 60 dar kama.hauna hela ni kama una miaka 120
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Kati ya mtu alie mkoan na dar n yupi anazeeka haraka? Mfano wote wana hali sawa za kiuchumiHapa mjini vijana wana zeeka haraka sana mtu ana miaka 40 lakini ukimtazama kama 60 au 70 wengine wana miaka 60 bado wana panga maisha ya mjini Dar hayana kanuni
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Hilo nalijua mimi watoto wangu watanichukia sana kwa jinsi mama yao anavyowajaza sumu,ila baba yangu atabaki kuwa legend,kapambana sana yule mwamba kwa ajili yetuUnajengewa chuki na mama yako dhidi ya baba yako na wewe unaingia mkenke pasipo kujua. Hata wewe utachukiwa na wanao kama unavyomchukia baba yako.
Hzo ni story za vijiwen hazna ukweli wowote labda kama ilikua ni intavyuu ya saidia fundiKuna mmoja alikataa kumpisha mzee kwenye daladala akiwa anaenda interview wakashuka wote kwenye basi
Kuingia ofisi ya interview akakuta yule mzee ndie wa kumhoji oral interview
Kilichofuata alimwamkia tu mzee akamwambia nenda.Alitoka analia akajua kitakachofuata.Hakupata kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848]Erick Shigongo