Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwahiyo mzee wa miaka 70 akatize mitaa ya Ilala na pikipiki?
Unataka uone ubongo wa mzee akipigwa na TATA
Unataka uone ubongo wa mzee akipigwa na TATA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana vingi vimelegea hadi makalio sababu muda mwingi ni kukaa tu iwe nyumbani vinakaa tu kwenye makochi vikiangalia movie usiku kucha kwenye daladala ni kukaa tu unakuta sasa hivi ndio maana vijana vingi vya kiume hata tendo la ndoa vichovu kuna ongezeko kubwa la Viitoto vya kike kupenda watu wazima kutoroka vijana sababu hiyoHafu kusimama dk 45 hakumtoi mtu roho ni sehemu ya mazoezi pia haswa kwa umri wao Endeleeni kukaza mpka wakome...
Basi wanaochepuka kwasasa ni wengi kuliko wasiochepuka basi itakuwa binadamu wanaume wenye shida ni wengi kuliko wasiokuwa na shida kwa kauli yako.Umeoa? Kama umeoa utaelewa nachokisema na Kama haujaoa ukishaoa utarudi kwenye hii thread hata miaka kumi ijayo tuombe uzima tu.
Mwanamke asiyeridhika jiulize wewe una shida gani? Unless unaongelea kuhusu pesa kwamba hauna pesa na demu ni mpenda shortcut za pesa ndio analazimika kutoa kwa watu wengi.
Ila Kama ni kuridhika kimapenzi basi niangalie acha kula chips mdogo wangu piga vyakula na ule kweli sio unashindia smoothie Kama mademu.
Nenda kale na ukiwa ndani acha papara. Be the man she is yours and she must know that Kuna mwanaume lakini ukishindia matango na papai utafirahishwa tu.
Mengine ni majaliwa ya mola
Hao no mademu wa kizazi chenu sisi zamani tulikanywa, mkichinja mbuzi mwanamke asile makende ya mbuzi Ile ni ya wababa Ila Sasa hivi mnawapa dada zenu unategemea nyege apeleke wapi?Basi wanaochepuka kwasasa ni wengi kuliko wasiochepuka basi itakuwa binadamu wanaume wenye shida ni wengi kuliko wasiokuwa na shida kwa kauli yako.
Mimi sijaoa na ninaona wake wa waliooa wanavyotafunwa tafunwa bila sababu ya msingi, si kazini, si bodaboda, si mateja, mpaka unajiuliza hivi shida iko wapi.
Na hii sio dar tu, kote kote hata huko ambapo wala chips ni wachache.
Mambo mengine ni kudra tu
Ungejua utafika huko ungewaonea huruma hao wazee,,wewe umejipimia utaishia kwenye 48Ntagonga 80
Ni utandawazi, we huoni wanawake wanajadili hadharani na kusifu kuchepuka humu?Hao no mademu wa kizazi chenu sisi zamani tulikanywa, mkichinja mbuzi mwanamke asile makende ya mbuzi Ile ni ya wababa Ila Sasa hivi mnawapa dada zenu unategemea nyege apeleke wapi?
Kisusio mwanamke anazuiwa kunywa Ila Sasa hivi unampa tu unategemea damu ikichemka apeleke ndululu wapi?
Ndio maana Kuna chakula ilikuwa mama anatenga kabisa anajua hiki ni Cha mumewe na akila anaijua shughuli yake, Sasa hivi mwanamke analewa tu mapimbe hajui chakula ya mume inaishia kupikiwa chips mayai nyumbani kwako au unakuta ameagiza eti kuku wa KFC maaaaambegese nitafukuza mtu. Wape wanao hayo madude Ila mie niwekee ugali au viazi au ndizi au chakula kinachoeleweka aisee.
Wanawake mnawanywesha Jaggermeister na redbull unategemea itokee nini na ukifika unampiga kimoja tu unalala? Ukiona anakunywa hiyo ndio ujipange usishindie kuagiza burger mzee kale ugali na mboga Saba mlenda usikose.
Ndio maana wazee wa muhimu sana endeleni kuwatukana
Hii nayo ipo, sijui mtaoa wanawake gani maana naona wote yaani wote ni vichaa na wauza mbunye wamezidi Hadi maofisini wanadanga kabisa kwa mabosi.Ni utandawazi, we huoni wanawake wanajadili hadharani na kusifu kuchepuka humu?
Zamani ilikuwa kumla mwanamke kwake ni jambo gumu, kwasasa anakupa tu kama vile anakupa pipi wala hawazi mara mbili na kesho kakusahau.
Mimi naona sio chakula wala nini ni mabadiliko ya nyakati tu watu hawana aibu hawajali kubusu perception ya jamii juu yao.
Ukifuatilia utaona hata wanavyoshauriana mitandaoni wanashauriana waliwe tu, mwanamke eti lazima asiwe na figa moja
Uzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.[emoji23]Walemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu. Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala Ila wazee hapana.
Mitaani kuna magari hadi milioni tatu, bodaboda used mpaka laki sita, hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda.
Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa kupambana na maisha hata katika uzee wao.
Kuwapisha siti ni kuwadekeza na kuwafanya wabweteke. Vijana pambaneni msitegemee hisani ya kupishwa siti uzeeni
Mimi hata ukija na miaka 89 sikupishi nakuangalia macho makavu sikupishi
We kula bata ujanani ila jua uzeeni tutakutana kwenye daladala.
Uzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.
Ndio wazee wengi wana nguvu ndio maana hata wasipopishwa kiti wanasimama hadi mwisho hawaanguki chini kwa vichovuWengi tu wana nguvu
Wazee wamekulia maisha mazuri sana ya vyakula natural na unapikiwa chakula na mama yako au mkeo sio siku hizi mke anajifanya busy kumbe umalaya mtupu, baba unarudi home unakula chakula Cha housegirl mwanzo mwisho mama akirudi ni kulala tu.Ndio.maana take wazee wengi wana nguvu ndio maana hata wasipopishwa kiti wanakata bima hadi mwisho hawaanguli chino kwa vichovu
Fuatilia vizuri basi hata lijae vipi wazee waliosimsma wima huwa hawataki.mijasho lakini vijana mijasho.kibao na hulalamika kuwa kuwa wanashindwa kupumua vizuri.Stamina ziko chini kwa vijana huo ndio ukweli na inasababishwa na vyakula legelege wanavyokula na behaviour legelege kwenye maisha kama hiyo ya kusimsma kwenye daladala hata saa moja tu hawawezi
Imelaaniwa na kulaanika, magari na vyombo vya moto vinaliganishwaje na utu? Kila mtu akimiliki gari barabara zitatosha?Walemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu. Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala Ila wazee hapana.
Mitaani kuna magari hadi milioni tatu, bodaboda used mpaka laki sita, hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda.
Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa kupambana na maisha hata katika uzee wao.
Kuwapisha siti ni kuwadekeza na kuwafanya wabweteke. Vijana pambaneni msitegemee hisani ya kupishwa siti uzeeni
Mimi hata ukija na miaka 89 sikupishi nakuangalia macho makavu sikupishi
We kula bata ujanani ila jua uzeeni tutakutana kwenye daladala.
Uzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.
ROBERT HERIEL njoo Tia neno kwenye huu uzi
Yeye ndiie kuanzisha kupitia ID nyingineROBERT HERIEL njoo Tia neno kwenye huu uzi
Me wazee HUWA siwapishi kabisaaaa naaminigi kua maishani mwao wamepitia mengi na magumu kwahiyo HILI la kusimama kwenye gari ni chamtoto tu[emoji4][emoji4][emoji4]
SASA utakuta mzee kafula mithiri ya kobe kumbe ndio unamsaidia yeye afanye mazoezi [emoji1787]Hafu kusimama dk 45 hakumtoi mtu roho ni sehemu ya mazoezi pia haswa kwa umri wao Endeleeni kukaza mpka wakome...