Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Wewe unawaza sawa na huyu
[emoji116]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Angeanguka kwa presha huyo ulimuokoa sana
 
Dah naona wamekuangushia jumba bovu,nimeamini hata magereza kuna watu wamesingiziwa kesi
 
Hzo ni story za vijiwen hazna ukweli wowote labda kama ilikua ni intavyuu ya saidia fundi

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hauelewi interview za private companies mwisho wa siku unakutana na mtu mmoja tu kwenye oral interview na nyingi hukodi wazee wastaafu wabobezi area husika kusaidia hilo huyo mtu nimekupa mfano aliomba kazi ya ufundi magari kampuni ya usafirishaji mizigo ndio akakutana na huyo mzee fundi magari wa siku nyingi mstaafu kwenye hiyo kampuni ndio aliitwa aje awafanyie oral nterview hao mafundi waombaji

Usichanganye na serikalini ambako interview panel wanajaa chumba kizima sababu ya posho wanazolipwa kila mtu anataka awepo kwenye interview panel wakati hajui chochote kuhusiana na hiyo field ya waombaji Kakaa tu kama bwege
 
Mimi huwa naangalia huyu nikimpa papuchi ataweza kucheza nayo? mind ikiniambia Yes simpishi ng'oo......... Kama ni mwanamke na anaonekana mzee huwa nampisha huku moyoni nikisema anaweza kuwa nyanya yangu au mama nanyanyuka charp
 
Mimi huwa naangalia huyu nikimpa papuchi ataweza kucheza nayo? mind ikiniambia Yes simpishi ng'oo......... Kama ni mwanamke na anaonekana mzee huwa nampisha huku moyoni nikisema anaweza kuwa nyanya yangu au mama nanyanyuka charp
Dah we noma kwa hiyo ukiona huyu mzee anaweza piga show ukimpa 😀😀
 
Kipindi cha ujana wao wenzao walikua wana pambana kutafuta wao walichojua ni kuchomekea na kucheza disco vumbi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sio wazee wote unaowaona walikuwa wanakula bata ujana wao ila wengine walikuwa mishahara yao inalipa Ada za ndugu halafu ndugu walipopata kazi za maana wakawatupa

Kuna mzee alikuwa waziri na Mbunge alisomeshwa na ndugu yake wa damu ila baada ya kufaulu vizuri na kuwa na kazi nzuri hakumsaidia ndugu yake kabisa kisa eti mlevi

Wote wametangulia mbele ya haki ila hakumtendea haki ndugu yake

Na hao ndio wakipanda bus unamhukumu na kusema ujana aliumaliza kwa raha kumbe ni kuhangaika mwanzo mwisho mpaka kaburini
 
Kutoka jasho kunategemea. Kuna watu wana overactive sweating glands kitaalamu ni Hyperhidrosis. Yaani anaweza asiwe anafanya lolote lakini ana sweat profusely hasa sehemu zenye joto kama Dar na Pwani.
 
Wa aina hiyo wapo wengi mkuu,wema usizidi uwezo,jali wazazi wako,wanao na mke kwanza,ile surplus ndio usaidie ndugu,ndugu hawana shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…