Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo vyote hakuna kitu mbele ya ugonjwa kama utaweza muulize MengiPesa mwana haramu ndugu ..ukiwa na hela chawa watakuzunguka tu,utapata dereva wa gari yako na utaoa binti mbichi wa kukupa joto.nyumba itajaa wajukuu nk,ukiwa huna kitu huoni mtu
Kwahiyo umeishajikatia tamaa wewe ni wa daladala tu..pole sanaWalemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu. Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala Ila wazee hapana.
Mitaani kuna magari hadi milioni tatu, bodaboda used mpaka laki sita, hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda.
Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa kupambana na maisha hata katika uzee wao.
Kuwapisha siti ni kuwadekeza na kuwafanya wabweteke. Vijana pambaneni msitegemee hisani ya kupishwa siti uzeeni
Mimi hata ukija na miaka 89 sikupishi nakuangalia macho makavu sikupishi. We kula bata ujanani ila jua uzeeni tutakutana kwenye daladala.
Uzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.
Sasa mbona wewe bado upo kwenye izo daladala mpaka leo?Walemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu. Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala Ila wazee hapana.
Mitaani kuna magari hadi milioni tatu, bodaboda used mpaka laki sita, hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda.
Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa kupambana na maisha hata katika uzee wao.
Kuwapisha siti ni kuwadekeza na kuwafanya wabweteke. Vijana pambaneni msitegemee hisani ya kupishwa siti uzeeni
Mimi hata ukija na miaka 89 sikupishi nakuangalia macho makavu sikupishi. We kula bata ujanani ila jua uzeeni tutakutana kwenye daladala.
Uzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.
🤣🤣🤣Me wazee HUWA siwapishi kabisaaaa naaminigi kua maishani mwao wamepitia mengi na magumu kwahiyo HILI la kusimama kwenye gari ni chamtoto tu[emoji4][emoji4][emoji4]
Hapa ndio chanzo cha maskini wa kiafrikaNdiyo maana huwa nawaambia jamaa zangu kuwa, hata kama umejenga Dar, jitahidi sana kujenga nyumba ya kawaida tu nyumbani kwenu, utaishi kwa starehe sana. Hata Mzaramo ana kwao(Maneromango).
Miaka 60+ kukaa Dar ni uchuro!
Wewe mshirikina mkabila sasa hivi kuna ndoa mchanganyiko unatoka vikabila vinavyoendekeza ukabila kaoe au kuolewa huko muendekeze ushirikina wenuNdiyo maana huwa nawaambia jamaa zangu kuwa, hata kama umejenga Dar, jitahidi sana kujenga nyumba ya kawaida tu nyumbani kwenu, utaishi kwa starehe sana. Hata Mzaramo ana kwao(Maneromango).
Miaka 60+ kukaa Dar ni uchuro!
we una umri gani kwani?Walemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu. Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala Ila wazee hapana.
Mitaani kuna magari hadi milioni tatu, bodaboda used mpaka laki sita, hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda.
Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa kupambana na maisha hata katika uzee wao.
Kuwapisha siti ni kuwadekeza na kuwafanya wabweteke. Vijana pambaneni msitegemee hisani ya kupishwa siti uzeeni
Mimi hata ukija na miaka 89 sikupishi nakuangalia macho makavu sikupishi. We kula bata ujanani ila jua uzeeni tutakutana kwenye daladala.
Uzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.
shukuru mzee alikuwa tungiMi wazee nawaheshimu sana.
Kuna Bar Moja nilienda hapo tabata Aroma, kuangalia mishe ya umeneja wa Bar.
nikamkuta mzee mmoja anagonga konyagi yani yuko tungi aisee mida ya saa nne asubuhi..
Mzee yule nimemkuta meza za mwanzo kabisa nikamsalimia vizuri akaitika. Nikaenda counter nikawaambia nimeleta CV zangu kwa kazi flani.
Wakanipokea, nikakaa pale kama nusu saa nasubiri INTERVIEW.
Baada ya muda yule dada wa counter akaniita ananiambia mzee anakuita (yule niliemsalimia mwanzoni) kwa ajili ya interview.
Dah nilijiuliza maswali mengi sana endapo ningempita bila salam ingekuwaje.
mzee tukasalimiana tena akaniomba vyeti na barua, akatazama pale huku anasifia.
Hapo hapo akaniambia You are my new Bar manager🥵🥵😅😅😅
Jamani nilifurahi sana! nimekula laki 3 tatu hapo na posho miezi mitano nashukuru mpaka sasa nina mtaji wa Biashara
Basi nimona kjn alikuwa anatania tu ili kutuweka sawa mm pia nimemuelewa ktk utani wakeUzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.[emoji23]
Nakulaani hutaufikia uzee😊😊😊
Mkuu Heshima na adabu hutegemea mazingira.
Kumpisha au kutompisha Mzee hakumfanyi mtu kuwa na heshima au adabu.
Kama Mzee kaona Gari imejaa na akapanda ni wazi anajua atamudu hekaheka za daladala.
Ila kijana anaweza kumpisha Kwa Mapenzi na hiyari yake. Sio lazima ampishe. Tena akiwa anaenda mbali, mfano kutoka Makumbusho mpaka Bunju huyo hata asipompisha ni Sawa.
Alafu Mzee kwenye Daladala anafuata nini?
Ndio maana huwaga nasema kuna umri ukifika ni lazima Wazee waachie mji waende pembezoni mwa mji au vijijini Kabisa.
Huko watavuta hewa Safi.
Wataepukana na kelele ambazo hupunguza maisha
Wataepukana na maudhi ya Vijana wa kizazi kipya wa mjini
Nakulaani hutaufikia uzee
Huu mwaka hauishi.🤣🤣🤣
Waambie wajinga wanaoamini katika laana.
Tena ungekuwa karibu ungekula mitama na uzee wako