Nasema ukweli kuhusu uganga

Kweli una experience
 
kwahiyo tuanze kujadili maswala ya waganga,uchawi,majini na mizimu!!!! hebu acheni uzwazwa.
 
Kuna Uzi unasema
jinsi nilivyofumbuliwa macho Ile ni story tu sio kweli. Kama ni mrozi hasa na anauwezo huo alio simulia jao sikumaliza story Ile angekuwa mtu mkubwa mno duniani huyo jamaa
 
niringe mara ngapi ephen..? njoo pm nikupe mkanda huoni hizi siku mbili nimetulia,najilia vya mbingu na nchi,vilivyoiva na vibichi mandingondingo kwa maparachichi halafu utelezi na vi lips!, hata sio kwa fujo ni kwa uhodari na vikwikwi...😋
Endelea kushika mapembe! Yule yupo na bwana wa maana kutoka kwa Mungu na sio wewe mwana hiphop
 
Wapi panaongoza kwa imani za kipuuzi?

Afrika Mashariki.

Wapi panaongoza kwa umasikini?

Afrika Mashariki.
Hakuna imani za kipuuzi Mkuu, Elimu za kichawi zinafundishwa mpaka ULAYA mpaka kuna vyuo. Sasa wewe mtu mtu usiyekuwa na impact yoyote kwenye dunia hii unabishia elimu zilizokutangulia. Relax bro huwezi kujua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…