Nasema ukweli kuhusu uganga

Nasema ukweli kuhusu uganga

SIpingii kabisa ila kila mtu anaaina ya uganga wake kuna uganga wa mizimu,ambayo wanaokuongoza ni babu zako walioopita na hayo majini lazima mtu aliyedhamiriwa kuwa mganga awe nayo. Kafara zake ni kuku na mbuzi.

Ila kuna mganga ni wamajini sana na mizimu kidogo . Huyu kafara zake ni wanyama wakubwa wakubwa,kuvuta vitu vilivyowekwa kichawi. Nakusoma visomo na kutibu watu.

Mwingine ni uganga wa kifree manson huyu lazima atakuambia utoe kafara za watu tu. Sio jingine na kukuambia uue uwaweke ndani kwa kuwafanyia kazi. Au kuwachukulia nyota na huu uganga ukikosea masharti unauwawa. Na ukiwa hujui kuutumia pia huyu hanaga haja yakujua future yako, nikukupa masharti tu.
Wengine hulala na dada zako au mama yako au hata kuwatumia wanaume wenzako. Au wanawake wenzako upate mali .
Kweli una experience
 
kwahiyo tuanze kujadili maswala ya waganga,uchawi,majini na mizimu!!!! hebu acheni uzwazwa.
 
Kuna Uzi unasema
Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga.

Baada ya kupewa mizimu yake na majini yake lazima upewe jini ambalo ni uganga wako. Ndiye anaitwa kiti na pia humuona ndotoni sio live.

Halafu ukianza kusimikwa uganga unatakiwa uwe unafamilia tayari. Watoto wako ndio ukoo wako kuna mmoja au mjukuu wako utamridhisha.

HAlafu unakuwa unaona hadi mtu akienda kwa waganga au mtu fulani wakaribu wanataka kumuua au chochote kizuri au kibaya .
BAsi ukioa unaletewa wengine wakukuelekeza na wazee waukoo uganga ulipo basi unaanza kutibu.

Ila uganga kwanza nikama unabii tu ila mtu kuishi mapangoni kufanya nini kama ni pete zauganga kama umeshaoa mke au kuolewa na mme wamtakao basi. Ukiwamke namume unaanza kuoteshwa nani wakukupa kila kitu sasa sijui wengine wanaenda kuishi mapangoni kufanya nini na huku majini yanakufuata at the right time . Na mtu huanza kuona nakuelezea wale wenye shida nakuwaelekeza mganga wakuwasaidia kwa mana bado hajawa kamili.

Na uganga halisi huwezi kulala na familia yako. Hiyo hapana hata ukiuliza watu wengi . Ambao wamekuwaga waganga .

Sijui kwa wale ambao wengi waliupataje huo uganga .
jinsi nilivyofumbuliwa macho Ile ni story tu sio kweli. Kama ni mrozi hasa na anauwezo huo alio simulia jao sikumaliza story Ile angekuwa mtu mkubwa mno duniani huyo jamaa
 
niringe mara ngapi ephen..? njoo pm nikupe mkanda huoni hizi siku mbili nimetulia,najilia vya mbingu na nchi,vilivyoiva na vibichi mandingondingo kwa maparachichi halafu utelezi na vi lips!, hata sio kwa fujo ni kwa uhodari na vikwikwi...😋
Endelea kushika mapembe! Yule yupo na bwana wa maana kutoka kwa Mungu na sio wewe mwana hiphop
 
Wapi panaongoza kwa imani za kipuuzi?

Afrika Mashariki.

Wapi panaongoza kwa umasikini?

Afrika Mashariki.
Hakuna imani za kipuuzi Mkuu, Elimu za kichawi zinafundishwa mpaka ULAYA mpaka kuna vyuo. Sasa wewe mtu mtu usiyekuwa na impact yoyote kwenye dunia hii unabishia elimu zilizokutangulia. Relax bro huwezi kujua kila kitu
 
Back
Top Bottom