Nasema ukweli kuhusu uganga

Nasema ukweli kuhusu uganga

Wewe umesahau kwamba iyo simu yako ulivyokuwa unaipenda siku unanunua na leo ni tofauti,,,binadam ana sifa ya kukinai kitu

Kama wewe ni mganga na unamaono ongea kitu ambacho hakipo hapa dunian na ukilete kianze kuishi kiuhalisia?
@Arsi anaweza kabisa mwambie afanye hivyo ila nikiolewa nikakabidhiwa naweza kufanya yale niliokabidhiwa
 
Mie sina wivu nimesema ukweli halafu arsi ni mtu anayeweza kutibu ila kuna kasoro fulani ipo akitoa hapo . Ni mtu anayeweza

Mie sina wivu nimesema ukweli halafu arsi ni mtu anayeweza kutibu ila kuna kasoro fulani ipo akitoa hapo . Ni mtu anayeweza sana
Kwa mambo aliyoyafanya na anayoyafanya kwa kusaidia watu kutoka kwenye power zinazomtaka afanye unafkri Kuna mganga angeyaweza hayo? honestly simba ni zaidi ya mganga japo hapendi kuwa mganga na hajawahi kuwa mganga.

Kama Kuna mtu anajiweza aende tu aka test uwezo wake 😁😁
 
Uganga = Uchawi.

Huwezi kuwa mganga bila kuwa mchawi.

Mganga humtambua mchawi na mchawi humtambua mganga. Mganga amepewa kifuniko cha kuganga watu ili kuficha ule utendaji kazi wa shetani ndani mwake.

Wote wapo chini ya kitengo cha kuongozwa na nguvu za giza kutoka kuzimuni.
Wote wapo WIZARA 1 ya NISHATI na MADINI sio mkuu?
 
Hahahaha ndo yenyewe😂
Unashida sana na maisha ya watu endelea hivyo hivyoo kuonekana ni muhimu kwako nakuhangaika huku kama kuku wakutaka kutaga mayai kila mwanamke unamuandama muandame mwaya hujatosheka tu endelea na hayo hayo maisha ila ipo siku utahitaji msaada wale uliokuwa unawaponda ndio watakusaidia
 
Hahahaha da Maua bana😁
 
Back
Top Bottom