Nasema ukweli kuhusu uganga

Nasema ukweli kuhusu uganga

TOfautisha muona maono na muombeaji ,mtabiri na mganga. Mie ninaweza kuwa mganga ila sijapitia hiyo steji maana sijaolewa

Ukiolewa utakuwa hapo hapo au utatendewa kitu uwe?
Ila kuwa hivyo Ukienda mahala tuseme sherehe unaona kila kitu cha aliyepo hapo au hadi uulizwe na muhusika?
 
Mga nga ni yule anakilinge ila mie naona shida ya mtu na mtu atakayemsaidia sijui unanielewa sina kilinge sijaolewa so siwezi pewa kilinge .
Ila naweza sema nakuona matatizo yako
Ebu niangalie hapo chap
 
Mwaya sijafikia huko labda kuona tu utaolewa nanani na mengineyo. Kiuserious humu na nje ya hapa kuna vijana wanakupenda ni wewe kuwa makini maana kuna mtu unampenda ila yeye hajaweka msimamo kwako pekee na mtu mwingine anakupenda wewe upo tu kisa anakuhudumia vyema
Em niangalie na Mimi mkuu! 😋
 
Nielimishe hapa tafadhali.
Umesema waganga wote wanatumia uchawi nguvu za kiza nikapinga.

Sababu wapo waganga wanaotibu wacha Mungu, kwanza elewa maana ya mganga mtu anae tibu ndo maana ukienda hospital unakuta Mganga 1 Mganga 2 yaani chumba cha Daktari/Doctor hivyo basi waganga kila mmoja ana aina yake ya uganga asli kama wa majini wa kichawi,majini wa miti shamba majini ya vitabu sasa hapo ndo wana tofautiana kuna waganga harogi mtu hashirikiani na wachawi yeye tiba zake anategemea zaidi Mungu kuponyesha anafanya dua anakupa kombe za shifaa na dawa za kiarabu wakati mwingine ana changanya kutibu kichawi miti shamba anaponyesha na anaroga inategemea unaenda na shida ipi anashirikiana na wachawi.
 
Kuna jamaa alikuwa msanii wa huu mziki wa kizazi kipya,ikatokea uganga ukamtaka alikuwa sharo hatari muda wote msafi ananukia ana dred kichwan

Mwanzo alikataa ila mauza uza yalipozid ikabid asalimu amri,akatafuta pori karibu na mji akaanza tiba,mwanzo alipata watu wengi sana wakawa wanakwenda kutibiwa kwake lakin yeye lifestyle yake hakuiacha,kamari kwa sana na kula mademu mpaka wake za watu,baadae alififia,kwake kukawa hakuna watu tena akaanza kuuza na vitu vyake mwsho wa siku alihama
Yes ukifanya maaswi nguvu zinapungua za uganga mwisho zinaisha kabisa viumbe wanakimbia wanakaa mbali haswa kula wateja wako ni mwiko kuwa mganga ni kama baba au mama kwa wateja wagonjwa ukiwala kama umekula mwanao taratibu nguvu zinapungua au uwe na uganga wa kutibu uanze na kuroga watu majini wazuri wote wanakaa pembeni unabaki na wabaya ndo wale waganga wa kuuwa watu kuroga kutupia majini.
 
Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga.

Baada ya kupewa mizimu yake na majini yake lazima upewe jini ambalo ni uganga wako. Ndiye anaitwa kiti na pia humuona ndotoni sio live.

Halafu ukianza kusimikwa uganga unatakiwa uwe unafamilia tayari. Watoto wako ndio ukoo wako kuna mmoja au mjukuu wako utamridhisha.

HAlafu unakuwa unaona hadi mtu akienda kwa waganga au mtu fulani wakaribu wanataka kumuua au chochote kizuri au kibaya .
BAsi ukioa unaletewa wengine wakukuelekeza na wazee waukoo uganga ulipo basi unaanza kutibu.

Ila uganga kwanza nikama unabii tu ila mtu kuishi mapangoni kufanya nini kama ni pete zauganga kama umeshaoa mke au kuolewa na mme wamtakao basi. Ukiwamke namume unaanza kuoteshwa nani wakukupa kila kitu sasa sijui wengine wanaenda kuishi mapangoni kufanya nini na huku majini yanakufuata at the right time . Na mtu huanza kuona nakuelezea wale wenye shida nakuwaelekeza mganga wakuwasaidia kwa mana bado hajawa kamili.

Na uganga halisi huwezi kulala na familia yako. Hiyo hapana hata ukiuliza watu wengi . Ambao wamekuwaga waganga .

Sijui kwa wale ambao wengi waliupataje huo uganga .

Kwahiyo wewe ni mganga? Wa kurithi au wa kununua kama matajiri wa kikinga?
 
Yes ukifanya maaswi nguvu zinapungua za uganga mwisho zinaisha kabisa viumbe wanakimbia wanakaa mbali haswa kula wateja wako ni mwiko kuwa mganga ni kama baba au mama kwa wateja wagonjwa ukiwala kama umekula mwanao taratibu nguvu zinapungua au uwe na uganga wa kutibu uanze na kuroga watu majini wazuri wote wanakaa pembeni unabaki na wabaya ndo wale waganga wa kuuwa watu kuroga kutupia majini.

Tangu lini kuna jini mzuri? Kuna some element ya decence kwenye maandishi yako ingawa kwangu mimi haya yote ni yale yale. Na yana masharti ya kuweka maagano na mashetani
 
Watoto wadogo wa jamiiforums hawawezi kukuelewa. WATOTO WADOGO.

Wanakula biskuti na kujamba kwenye makochi ya shemeji zao huku wakijiita wasomi.

Usomi wenyewe ndio hizi DIPLOMA ZA KUVUNA ASALI, wanapiga punyeto tu, mizinga yenyewe hakuna mpaka TABORA.

Uganga wa kweli ni jambo zito sana. Ni kitendo cha kuvamiwa na majeshi ya kiroho, lazima unyooke.

Any form of spiritual attack is catastrophic. Be it wizardry or anything related to that, it is CATASTROPHIC INDEED.

Hawa MACHEKIBOBU wa JAMIIFORUMS wenye DIPLOMA ZA KUVUNA ASALI watakwambia sio kweli, eti wao ni WASOMI!

Wewe ni mganga? Uganga unakusaidia nini ambacho elimu ya darasani imeshindwa?
 
Tangu lini kuna jini mzuri? Kuna some element ya decence kwenye maandishi yako ingawa kwangu mimi haya yote ni yale yale. Na yana masharti ya kuweka maagano na mashetani
Kawaida huwa sipendi mabishano kama ilivyo Kuna binadamu wema na waovu basi na majini wapo wema na waovu.
 
Kwahiyo wewe ni mganga? Wa kurithi au wa kununua kama matajiri wa kikinga?
Soma tena hapo juu mie sio.mganga sijaolewa so siwezi agua na yalinivaa tu haya mavitu 2017 ndio nilianza kumuona babu yangu aliyewahi kuwa mganga nakuniambia niolewe nanani ili anipe pete ya uganga na matunguli yake hata kama yatakuwa hayapo atanielekeza kwa mtu ambaye atanisimika kuwa mganga kuanzia hapo naona yatakayotokea na hata mtu akiniendea kwa mgangq naonaga mie sina kinga kivile bado nikihitaji kuwa kamilifu natakiwa niolewe nizae watoto ndio nipewe uganga .niwe kamili . Bado sioti dawa naota mganga atakaye kukusaidia tu maana hata mie naenda kutibia kwao pia yakinishinda maana kunakipindi yanapanda naugua napoteza fahamu naweza kukaa kimya masaa 3 to 4 ndio napumua tena kama kunachakuona kikubwa uchawi ukinishinda nguvu kuuona au kuutambua mie kuna charge fee maana hapo ukitaka tujue mambo yako unamsumbua kiti akuoneshe shida zako lazima umpe kitu
 
Back
Top Bottom