ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mganga! macho yangu mazito😒Zaidi ya magonjwa ya kawaida hakuna no problem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mganga! macho yangu mazito😒Zaidi ya magonjwa ya kawaida hakuna no problem
Haya kalale yapungue uzitoMganga! macho yangu mazito😒
Sio kipapai hiki?Haya kalale yapungue uzito
Ndio kinini 😆😆😆😆😆😆Sio kipapai hiki?
KulogwaNdio kinini 😆😆😆😆😆😆
SawaKulogwa
TOfautisha muona maono na muombeaji ,mtabiri na mganga. Mie ninaweza kuwa mganga ila sijapitia hiyo steji maana sijaolewa
Kwanini umesema hivo..?Wewe mpole ujue🤔
Ni sawa na wanasiasa na mafisadi,polisi kula njama na majambaziHuwezi kuwa Mganga bila kuwa Mchawi, hawa ni mapacha waliotoka kwenye kiuno cha baba mmoja na mama mmoja ila tu jinsia tofauti lakini damu ni moja.
Ebu niangalie hapo chapMga nga ni yule anakilinge ila mie naona shida ya mtu na mtu atakayemsaidia sijui unanielewa sina kilinge sijaolewa so siwezi pewa kilinge .
Ila naweza sema nakuona matatizo yako
Sijaelewa?Uchawi na uzinzi je?
Em niangalie na Mimi mkuu! 😋Mwaya sijafikia huko labda kuona tu utaolewa nanani na mengineyo. Kiuserious humu na nje ya hapa kuna vijana wanakupenda ni wewe kuwa makini maana kuna mtu unampenda ila yeye hajaweka msimamo kwako pekee na mtu mwingine anakupenda wewe upo tu kisa anakuhudumia vyema
Umesema waganga wote wanatumia uchawi nguvu za kiza nikapinga.Nielimishe hapa tafadhali.
Yes ukifanya maaswi nguvu zinapungua za uganga mwisho zinaisha kabisa viumbe wanakimbia wanakaa mbali haswa kula wateja wako ni mwiko kuwa mganga ni kama baba au mama kwa wateja wagonjwa ukiwala kama umekula mwanao taratibu nguvu zinapungua au uwe na uganga wa kutibu uanze na kuroga watu majini wazuri wote wanakaa pembeni unabaki na wabaya ndo wale waganga wa kuuwa watu kuroga kutupia majini.Kuna jamaa alikuwa msanii wa huu mziki wa kizazi kipya,ikatokea uganga ukamtaka alikuwa sharo hatari muda wote msafi ananukia ana dred kichwan
Mwanzo alikataa ila mauza uza yalipozid ikabid asalimu amri,akatafuta pori karibu na mji akaanza tiba,mwanzo alipata watu wengi sana wakawa wanakwenda kutibiwa kwake lakin yeye lifestyle yake hakuiacha,kamari kwa sana na kula mademu mpaka wake za watu,baadae alififia,kwake kukawa hakuna watu tena akaanza kuuza na vitu vyake mwsho wa siku alihama
Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga.
Baada ya kupewa mizimu yake na majini yake lazima upewe jini ambalo ni uganga wako. Ndiye anaitwa kiti na pia humuona ndotoni sio live.
Halafu ukianza kusimikwa uganga unatakiwa uwe unafamilia tayari. Watoto wako ndio ukoo wako kuna mmoja au mjukuu wako utamridhisha.
HAlafu unakuwa unaona hadi mtu akienda kwa waganga au mtu fulani wakaribu wanataka kumuua au chochote kizuri au kibaya .
BAsi ukioa unaletewa wengine wakukuelekeza na wazee waukoo uganga ulipo basi unaanza kutibu.
Ila uganga kwanza nikama unabii tu ila mtu kuishi mapangoni kufanya nini kama ni pete zauganga kama umeshaoa mke au kuolewa na mme wamtakao basi. Ukiwamke namume unaanza kuoteshwa nani wakukupa kila kitu sasa sijui wengine wanaenda kuishi mapangoni kufanya nini na huku majini yanakufuata at the right time . Na mtu huanza kuona nakuelezea wale wenye shida nakuwaelekeza mganga wakuwasaidia kwa mana bado hajawa kamili.
Na uganga halisi huwezi kulala na familia yako. Hiyo hapana hata ukiuliza watu wengi . Ambao wamekuwaga waganga .
Sijui kwa wale ambao wengi waliupataje huo uganga .
Yes ukifanya maaswi nguvu zinapungua za uganga mwisho zinaisha kabisa viumbe wanakimbia wanakaa mbali haswa kula wateja wako ni mwiko kuwa mganga ni kama baba au mama kwa wateja wagonjwa ukiwala kama umekula mwanao taratibu nguvu zinapungua au uwe na uganga wa kutibu uanze na kuroga watu majini wazuri wote wanakaa pembeni unabaki na wabaya ndo wale waganga wa kuuwa watu kuroga kutupia majini.
Watoto wadogo wa jamiiforums hawawezi kukuelewa. WATOTO WADOGO.
Wanakula biskuti na kujamba kwenye makochi ya shemeji zao huku wakijiita wasomi.
Usomi wenyewe ndio hizi DIPLOMA ZA KUVUNA ASALI, wanapiga punyeto tu, mizinga yenyewe hakuna mpaka TABORA.
Uganga wa kweli ni jambo zito sana. Ni kitendo cha kuvamiwa na majeshi ya kiroho, lazima unyooke.
Any form of spiritual attack is catastrophic. Be it wizardry or anything related to that, it is CATASTROPHIC INDEED.
Hawa MACHEKIBOBU wa JAMIIFORUMS wenye DIPLOMA ZA KUVUNA ASALI watakwambia sio kweli, eti wao ni WASOMI!
Kawaida huwa sipendi mabishano kama ilivyo Kuna binadamu wema na waovu basi na majini wapo wema na waovu.Tangu lini kuna jini mzuri? Kuna some element ya decence kwenye maandishi yako ingawa kwangu mimi haya yote ni yale yale. Na yana masharti ya kuweka maagano na mashetani
Soma tena hapo juu mie sio.mganga sijaolewa so siwezi agua na yalinivaa tu haya mavitu 2017 ndio nilianza kumuona babu yangu aliyewahi kuwa mganga nakuniambia niolewe nanani ili anipe pete ya uganga na matunguli yake hata kama yatakuwa hayapo atanielekeza kwa mtu ambaye atanisimika kuwa mganga kuanzia hapo naona yatakayotokea na hata mtu akiniendea kwa mgangq naonaga mie sina kinga kivile bado nikihitaji kuwa kamilifu natakiwa niolewe nizae watoto ndio nipewe uganga .niwe kamili . Bado sioti dawa naota mganga atakaye kukusaidia tu maana hata mie naenda kutibia kwao pia yakinishinda maana kunakipindi yanapanda naugua napoteza fahamu naweza kukaa kimya masaa 3 to 4 ndio napumua tena kama kunachakuona kikubwa uchawi ukinishinda nguvu kuuona au kuutambua mie kuna charge fee maana hapo ukitaka tujue mambo yako unamsumbua kiti akuoneshe shida zako lazima umpe kituKwahiyo wewe ni mganga? Wa kurithi au wa kununua kama matajiri wa kikinga?
Toe elfu kumi majina yako matatu nakuangalizia kama huna toq elfu 5Ebu niangalie hapo chap