Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

Huyu mwamba huu mziki wake sidhani kama amewahi kupata faida
P the MC Kuna interview alisema, Kuna msanii maarufu tu, anajimwambafai kanunua kiwanja, wakati Nash mc ana nyumba yake Kali tu.
Hao wasanii wanaopiga picha na magari mziki hauwalipi, kasikilize interview ya yule jamaa wa makomando (muki) kwenye sns
 
Back
Top Bottom