Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimtwangwa sana Mwendazake kwenye ngoma iitwayo "Beti"
Sent from my A53 Plus using JamiiForums mobile app
Huyu mwamba huu mziki wake sidhani kama amewahi kupata faida
Anavaa kifala sana
P the MC Kuna interview alisema, Kuna msanii maarufu tu, anajimwambafai kanunua kiwanja, wakati Nash mc ana nyumba yake Kali tu.Huyu mwamba huu mziki wake sidhani kama amewahi kupata faida
We mjamaa nimeunga doti nimekujua.Nash Mc dodoki la maana, mpaka masharobaro wanalia ooh mama
SijakusomaWe mjamaa nimeunga doti nimekujua.
Hawa weusiiii au weupeee? (Weupeee)
Underground Mc? Nash? Ah mkuu unamkosea Sana Mr NashNash Mc mmoja wa Underground Mc wa Bongo. Mcheki Youtube anapatikana zaidi huko pia.
Nimeshangaa eti anamuita underground.Underground Mc? Nash? Ah mkuu unamkosea Sana Mr Nash
Hana utafiki na mabishoo.Anazngua mwambakani block instagram afu sijawaHi hata kucoment mbovu kwenye page yake nmejikuta namchukia tu simkubaLi tenA
Mkuu jiheshimu basi....Nash Mc mmoja wa Underground Mc wa Bongo. Mcheki Youtube anapatikana zaidi huko pia.
Alimtwangwa sana Mwendazake kwenye ngoma iitwayo "Beti"
Sent from my A53 Plus using JamiiForums mobile app
"Beti nakutuma kaziangalie korosho, nyumbani Chigugu kule Masasi"
"...tumedhulumiwa na mzazi namba moko"
-Kaveli-