mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Wewe ungekuwa na Tv yako ungeruhusu kurushwa video iliyoshutiwa kwa techno?Ingekuwa ni huko nchi za wenzetu wanakotambua mchango wa sanaa kwenye ujenzi wa jamii, huu wimbo ungepewa tuzo kwa segment ya parenthood.
Ila kwa hapa bongo, huu wimbo hutosikia radio yoyote wala TV yoyote ikiurusha hewani.
-Kaveli-
Kuna moja inaitwa baada ya chuo ..ni bonge la trackKuna track yake moja inatwa Mtihani dah hua sichoki kuisikiza
Ni moja ya sababu, imagine unacheza playlist umepiga wimbo wa Kendrick Lamar, ukaja ukacheza wa Casper then Darasa alafu unapandishia wa Maalim Nash...wewe uoni utakimbiza watazamaji?Kwahiyo nyimbo za hip hop kutorushwa hewani ni kutokana na ubora hafifu wa video production?
-Kaveli-
Wasanii wa hip-hop waache kuchukia wasanii wenye mafanikio mana mashairi yao mengi wanadis tu wasanii wa kuimba hamna kazi rahisi kila mtu yanaumiza wajifunze kuheshimu wenzao wanachofanya
Radio stations wao pia wanafanya biashara... Kama mziki ukitakiwa na walaji wao hawawezi kuubania unless wawe na sababu zingine.Vipi kuhusu radio stations, na kwenyewe wanataka ubora wa video production?
Think as Mr Gentleman.
-Kaveli-
Ushaona wabana pua wanaangaika kuwaimba wasanii wa hiphop? Unajua kwa nini?Wasanii wa hip hop huwa wanaeleza ukweli na uhalisia. Tafsiri zinageuzwa na haters na kuonekana ni chuki kwa wabana pua.
-Kaveli-
Baada kutoa ngoma ya ZIMAMainstream media inambania sana huyu mwamba.
Ni emcee anayeimba real messages kwa jamii yetu ya kiafrika.
Kazi zake hazipati airtime inayostahili.
-Kaveli-
Walianza kukwamia hapaWasanii wa hip-hop waache kuchukia wasanii wenye mafanikio mana mashairi yao mengi wanadis tu wasanii wa kuimba hamna kazi rahisi kila mtu anaumia wajifunze kuheshimu wenzao wanachofanya
Una ambiwa Bil Nas ndio mwana hop bora [emoji3][emoji3][emoji3]Nyimbo za siku hizi huwezi kusikiliza wala kutazama mbele ya mama au wakwe. Nyimbo zimejaa matusi na maudhui ya kingono tu. Na ndizo zinapewa airtime ya kutosha!
-Kaveli-
Duh hii sawa na kejeli kwa hip hop sasaUna ambiwa Bil Nas ndio mwana hop bora [emoji3][emoji3][emoji3]