Nash MC, kwanini asipewe tuzo kwa darasa hili?

Nash MC, kwanini asipewe tuzo kwa darasa hili?

Ingekuwa ni huko nchi za wenzetu wanakotambua mchango wa sanaa kwenye ujenzi wa jamii, huu wimbo ungepewa tuzo kwa segment ya parenthood.

Ila kwa hapa bongo, huu wimbo hutosikia radio yoyote wala TV yoyote ikiurusha hewani.

-Kaveli-
Wewe ungekuwa na Tv yako ungeruhusu kurushwa video iliyoshutiwa kwa techno?
 
"...tunawapoteza wenetu vipepeo wanageuka kuwa popo,... na sasa hawashikiki ni wa moto kwenye 'soko'..." 😀

Long live maalim Nash.

-Kaveli-
 
Madam Khantwe , huwa unaongea na wanao? ama ndo huwa uko busy sikio lako huligawi kwa watoto?

-Kaveli-
 
Madam othiambo , pitia hapa utie neno. I am sure hii track utaipakua to your music library.

-Kaveli-
 
Kwahiyo nyimbo za hip hop kutorushwa hewani ni kutokana na ubora hafifu wa video production?

-Kaveli-
Ni moja ya sababu, imagine unacheza playlist umepiga wimbo wa Kendrick Lamar, ukaja ukacheza wa Casper then Darasa alafu unapandishia wa Maalim Nash...wewe uoni utakimbiza watazamaji?
 
Wasanii wa hip-hop waache kuchukia wasanii wenye mafanikio mana mashairi yao mengi wanadis tu wasanii wa kuimba hamna kazi rahisi kila mtu yanaumiza wajifunze kuheshimu wenzao wanachofanya

Wasanii wa hip hop huwa wanaeleza ukweli na uhalisia. Tafsiri zinageuzwa na haters na kuonekana ni chuki kwa wabana pua.

-Kaveli-
 
Vipi kuhusu radio stations, na kwenyewe wanataka ubora wa video production?

Think as Mr Gentleman.

-Kaveli-
Radio stations wao pia wanafanya biashara... Kama mziki ukitakiwa na walaji wao hawawezi kuubania unless wawe na sababu zingine.
 
Wasanii wa hip hop huwa wanaeleza ukweli na uhalisia. Tafsiri zinageuzwa na haters na kuonekana ni chuki kwa wabana pua.

-Kaveli-
Ushaona wabana pua wanaangaika kuwaimba wasanii wa hiphop? Unajua kwa nini?

Hiphop ni muziki wa losers.
 
Wasanii wa hip-hop waache kuchukia wasanii wenye mafanikio mana mashairi yao mengi wanadis tu wasanii wa kuimba hamna kazi rahisi kila mtu anaumia wajifunze kuheshimu wenzao wanachofanya
Walianza kukwamia hapa
 
Back
Top Bottom