Natamani angefanya truck 1 na salu TWasanii wa hip hop huwa wanaeleza ukweli na uhalisia. Tafsiri zinageuzwa na haters na kuonekana ni chuki kwa wabana pua.
-Kaveli-
Asiye husika na hiphop atoke.Umevuta Bangi ngapi!??
Minilishaacha kabisa labda saa gumu jeusiSiku hizi napata tabu sana kusikiliza radio mziki umekua wa hovyo sana
Yah ngoma kali sana ileTafuta ngoma ya Nash MC inaitwa Maneno amejibu hili swali lako.
Watanganyika/Wabongo wengi hawana akili sawasawa, yaani wamedata, ugumu wa maisha na lishe duni vimechangia kwa kiasi kikubwa hii kitu.Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi
Mbn hawa wakata mauno wanatawala
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
NiyeyeMwalimu mashaka
Tabia
Hizi nyimbo aliimba yeye eeh?
Tumeelewana mkuuWatanganyika/Wabongo wengi hawana akili sawasawa, yaani wamedata, ugumu wa maisha na lishe duni vimechangia kwa kiasi kikubwa hii kitu.
Hizi nyimbo wanazofanya Mamcee vichwa kama wakina Maalim Nash zinahitaji utulivu wa akili kuzielewa, lakini Mtanganyika hana utulivu wa akili (kutokana na sababu nilizozitaja).
Hawa waimba matusi na wakata mauno wataendelea kutamba sana kwasababu wanafanya vitu "rahisi", wananufaika na hali ya Mtanganyika.
Sijui tumeelewana!!!?
Huyu mwamba alifanya show kali ndani ya berlin 2018
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hip hop ilizaa Bongo Fleva lakini cha ajabu Bongo Fleva wamewaovertake wasanii wa hip hop ukiangalia trending hip hop mashabiki tupo wengi lakini tumefunikwa na wadosho wakata viuno keep hiphop alive, keep it real
Nmekuelewa vizuri sana mzee babaWatanganyika/Wabongo wengi hawana akili sawasawa, yaani wamedata, ugumu wa maisha na lishe duni vimechangia kwa kiasi kikubwa hii kitu.
Hizi nyimbo wanazofanya Mamcee vichwa kama wakina Maalim Nash zinahitaji utulivu wa akili kuzielewa, lakini Mtanganyika hana utulivu wa akili (kutokana na sababu nilizozitaja).
Hawa waimba matusi na wakata mauno wataendelea kutamba sana kwasababu wanafanya vitu "rahisi", wananufaika na hali ya Mtanganyika.
Sijui tumeelewana!!!?
Huwa naamini system ndio imeifanyia figisu hip hop maana ingekuwa tatizo kwa taifa
Watanganyika/Wabongo wengi hawana akili sawasawa, yaani wamedata, ugumu wa maisha na lishe duni vimechangia kwa kiasi kikubwa hii kitu.