Nash MC, kwanini asipewe tuzo kwa darasa hili?

Mwalimu mashaka
Tabia
Hizi nyimbo aliimba yeye eeh?
 
Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi
Mbn hawa wakata mauno wanatawala

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Watanganyika/Wabongo wengi hawana akili sawasawa, yaani wamedata, ugumu wa maisha na lishe duni vimechangia kwa kiasi kikubwa hii kitu.
Hizi nyimbo wanazofanya Mamcee vichwa kama wakina Maalim Nash zinahitaji utulivu wa akili kuzielewa, lakini Mtanganyika hana utulivu wa akili (kutokana na sababu nilizozitaja).
Hawa waimba matusi na wakata mauno wataendelea kutamba sana kwasababu wanafanya vitu "rahisi", wananufaika na hali ya Mtanganyika.
Sijui tumeelewana!!!?
 
Tumeelewana mkuu
 
Nash MC ni moja ya maMC Palla Midundo amejivunia.

Alimwambia Kikwete "Oya kaka Suma acha upumbavu wako.." [emoji23][emoji23][emoji23] TCRA wakaruka na Free Africa chapu kwa uchochezi.
 
Hip hop ilizaa Bongo Fleva lakini cha ajabu Bongo Fleva wamewaovertake wasanii wa hip hop ukiangalia trending hip hop mashabiki tupo wengi lakini tumefunikwa na wadosho wakata viuno keep hiphop alive, keep it real

Huwa naamini system ndio imeifanyia figisu hip hop maana ingekuwa tatizo kwa taifa
 
Watanganyika/Wabongo wengi hawana akili sawasawa, yaani wamedata, ugumu wa maisha na lishe duni vimechangia kwa kiasi kikubwa hii kitu.
Hizi nyimbo wanazofanya Mamcee vichwa kama wakina Maalim Nash zinahitaji utulivu wa akili kuzielewa, lakini Mtanganyika hana utulivu wa akili (kutokana na sababu nilizozitaja).
Hawa waimba matusi na wakata mauno wataendelea kutamba sana kwasababu wanafanya vitu "rahisi", wananufaika na hali ya Mtanganyika.
Sijui tumeelewana!!!?
Nmekuelewa vizuri sana mzee baba

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Huwa naamini system ndio imeifanyia figisu hip hop maana ingekuwa tatizo kwa taifa

Upo sahihi Mkuu Mgeni wa Jiji . Possibly. Hip Hop shabaha yake kuu ni kuleta mageuzi na haki katika jamii.

System inafanya kila liwezekanalo mziki huu usipenetrate mindset za wananchi.

Mfano, ushaisikia track ya Maalim Nash iitwayo 'Beti' ? Kama bado hujaisikia, hii hapa isikilize kwa makini:

Wimbo kama huu kamwe hutousikia radioni wala kwenye TV station, bali utausikiliza kwenye social media na mtaani tu like kwenye masaloon, magetoni, n.k.

2pac Shakur aliwahi kusema: "I am not saying I am gonna change the world, but I guarantee that I will spark the brain that will change the world."

Systems (karibia zote duniani) haziko tayari kuruhusu mziki wa hip hop uzalishe 'brains' za kuikosoa serikali katika kuhoji maovu na kusemea haki na usawa kwenye jamii.

Cc: Mkuu mrangi .

-Kaveli-
 
Watanganyika/Wabongo wengi hawana akili sawasawa, yaani wamedata, ugumu wa maisha na lishe duni vimechangia kwa kiasi kikubwa hii kitu.
Hizi nyimbo wanazofanya Mamcee vichwa kama wakina Maalim Nash zinahitaji utulivu wa akili kuzielewa, lakini Mtanganyika hana utulivu wa akili (kutokana na sababu nilizozitaja).
Hawa waimba matusi na wakata mauno wataendelea kutamba sana kwasababu wanafanya vitu "rahisi", wananufaika na hali ya Mtanganyika.
Sijui tumeelewana!!!?

That's correct. Hip Hop kuielewa inahitaji utulivu wa akili.

Hip Hop ni mziki wa kuhoji, kukosoa, kujenga, na kusemea haki na usawa kwenye jamii.

Serikali nyingi duniani, zinapenda wananchi wake wawe brainwashed na nyimbo za mapenzi na bata. Siku zinaenda.

-Kaveli-
 
Mika Mwamba alisema, kwa wapumbavu hardcore haina dili... Nash MC endelea kufoka-foka utaambulia kupewa gwala tu.
 
Back
Top Bottom