Nashangaa bado kuna watu waamini kuna kiumbe kinaitwa Shetani

Umesahau kwamba shetani ni nadharia iliyotengenezwa ili kuainisha matendo mabaya na mazuri? Shetani ni umbo/taswira ambayo inavaliwa na binadamu yeyote yule mwenye matendo yanayoweza kumtambulisha shetani kwa wakati huo. Mfano ni kwako mwenye angalia mambo uliyofanya lengo lako umtambulishe shetani kulingana na nadharia zako zakutaka kumuona shetani,, kwakifupi kwa akili yangu ndogo shetani ni mtu kuliangana na matendo yake ndio yanatoa utambulisho wa uwepo wa shetani ambaye ni wewe kwa wakati huo!
 
Hizi ni hadithi mnasimuliana ili mjipe moyo
 
Kama hawaonekani bora wangesikika basi.
Mda nilioufanya uchunguzi kwa hao viumbe Itoshe kusema hawapo.
Kitu kinacho sikika ina maana ni physical. Hao siyo physical. Ushadi wa kuwepo kwao ni kwa kutumia imani na siyo kwa kutumia macho au masikio. Kama uwepo wao unataka kuupima kwa kuwaona basi uko sahihi kusema hawapo.
 
Picknett anaeleza kuwa Kanisa lilihusisha Lucifer na ibada za kipagani ili kudhibiti jamii na kupunguza ushawishi wa wanawake.

Kuna mambo humo mmmh 🙌
Mimi Bado sijamaliza kukikosa kumbe ndo mambo ya humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…