Nashangaa bado kuna watu waamini kuna kiumbe kinaitwa Shetani

Kama ni mishumaa nimeshawasha sana ili nione kama Shetani atakuja lakini wapi. Kama ni chanting nimeshafanya ili nithibitishe kama Lucifer ama Shetani yupo bado niliambulia patupu.

Nimethibitisha Shetani hayupo
Zikwa ukiwa hai labda utamuona.
 
Kama ni mishumaa nimeshawasha sana ili nione kama Shetani atakuja lakini wapi. Kama ni chanting nimeshafanya ili nithibitishe kama Lucifer ama Shetani yupo bado niliambulia patupu.

Nimethibitisha Shetani hayupo
Baado sana hujafanya chochote utakutana naye siku moja na utaona maajabu ya dunia hii.
 
Kwenye naisha yako kuna vitu vingi sana hujawahi kuviona, kutokuviona kwako hakufanyi kwamba hicho kitu kipo au hakipo; as we speak mimi sijawahi kuona hewa, sijawahi kumuona huyo shetani, sijawahi kuona satellite, sijawahi kuona malaika, mawimbi ya sauti as well nk, now kutokuviona hivo vitu haku justify kwamba havipo. Anyway, kwani SHETANI ndio nini?
 
Mkuu Mimi sio mtu wa Keyboard ni mtu wa vitendo.

Nilifanya kila namna, Sijui how to call Lucifer kila aina ya majaribio ili mradi tu nimuone huyo SATAN lakini.
Kuuliza ulifanyaje namaanisha either ulifundishwa au kujua ukifuata njia na kutayarisha vitu fulani fulani na ukanuia au kuongea katika mazingira fulani ataweza kujitokeza na kuongea nae. Ndizo hizo njia ninazouliza, tusishangae labda kuna kitu ulikosea na wajuzi wakakuelekeza zaidi then baadae ukaja na ushuhuda mwengine mkuu.😀
 
Tatizo la Akili linakua kwa kasi sana
Hasa kwa Watu wa Mitandaoni.
 
Talk of the devil.
Jana nimepiga simu kijijini kuuliza nimesikia mtu alinishtaki Polisi. Mtu huyu ni nani?
Nikapata Mama mmoja alikuwa ana complain, wewe umemnunulia sare ya shule mtoto wake msichana, anasema that was not necessary kwa sababu yeye anazo hela za kumtunza mwanaye.
Leo nimepata msg,nipigie simu nataka nikueleze zaidi kuhusu yule Mama wa jana.
Nikapiga simu nadhani nitaambiwa yule Mama anasema umkome,anasikia unaulizauliza maswali.
Leo nimeambiwa yule Mama amekufa,amegongwa na boda boda amekufa.
Yule Mama alikuwa anafanya kazi ya kusuka.
RIP. Amekufa siku ya wanawake duniani. How ironic.
Labda imekuwa heartless kuisimulia hii sasa hivi.
Yule Mama anazikwa kesho Musoma.
 
Unaona tatizo langu hapo. Someone could accuse me of being a Black Magician wakati I had no idea what was happening.
 
Kama ni mishumaa nimeshawasha sana ili nione kama Shetani atakuja lakini wapi. Kama ni chanting nimeshafanya ili nithibitishe kama Lucifer ama Shetani yupo bado niliambulia patupu.

Nimethibitisha Shetani hayupo.
Nimesoma post yako nimecheka sana then nikatafakari nikwambie nini lakini kifupi tu umewahi kusikia nyoka anakonda
Sasa unachokifanya ni sawa na kusema nimezunguka mapole yote wala sijamona anakondo hayupo kumbe unamtafuta sio kwenye kamakao yake na kumbe ulitakiwa kwenda msitu wa amazoni
Kama ilivyo ngumu kumuona Mungu ndivyo ilivyo Ngumu kumuona shetani
Ukifanikiwa sana sana unaweza kuona majeshi yake ila kumuona shetani ngumu sana wewe ni tishio kiasi ngani kwenye falume za giza
Shetani anaitwa mfalme wa giza
Ikiwa tu hapa kwetu kumuona raisi tu wa tz ilivyongumu achilia mbali raisi wa usa ilivyolazi ndio uweze kukutama na mfalme wa giza ambaye nguvu zake ziliitikisa mbingu na kumega malaika
Ukitaka kumwona shetani uso kwa uso inatakiwa ufunge siku 40 bila kula chochote ukifanikiwa kuishi unaweza
Musa alifunga siku 40 akamwona Mungu
Yesu alifunga siku 40 akakutana na shetani
Mathayo 4:2 Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa
Mathayo 4:3 Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
 
Hivi sio wewe uliesema Mungu hayupo??!...inaelekea unajiuliza sana mambo hayo...take it easy!
 
1741519989398.png
 
Kama ni mishumaa nimeshawasha sana ili nione kama Shetani atakuja lakini wapi. Kama ni chanting nimeshafanya ili nithibitishe kama Lucifer ama Shetani yupo bado niliambulia patupu.

Nimethibitisha Shetani hayupo.
Pole sanaa.
Kwanza hakuna kiumbe maalum kinachoitwa shetani.
Bali zile tabia zakiumbe ndio humfanya kiumbe huyo kuwa shetani.

Mfano Kuna shetani wa kibinadamu
Kuna shetani wa kijini
Na shetani katika viumbe wengine.
 
Kwenye naisha yako kuna vitu vingi sana hujawahi kuviona, kutokuviona kwako hakufanyi kwamba hicho kitu kipo au hakipo; as we speak mimi sijawahi kuona hewa, sijawahi kumuona huyo shetani, sijawahi kuona satellite, sijawahi kuona malaika, mawimbi ya sauti as well nk, now kutokuviona hivo vitu haku justify kwamba havipo. Anyway, kwani SHETANI ndio nini?
Kwahiyo kuna aliyewahi kumuona huyo Shetani?
 
Na
Kama ni mishumaa nimeshawasha sana ili nione kama Shetani atakuja lakini wapi. Kama ni chanting nimeshafanya ili nithibitishe kama Lucifer ama Shetani yupo bado niliambulia patupu.

Nimethibitisha Shetani hayupo.
Shetani sio kiumbe...shetani ni sifa..! hata #MWInGULU ni SHETANI muite huyo utakuwa umetimiza hitaji lako😁😁😁
 
Back
Top Bottom