Nashangaa bado kuna watu waamini kuna kiumbe kinaitwa Shetani

Mkuu Mimi sio mtu wa Keyboard ni mtu wa vitendo.

Nilifanya kila namna, Sijui how to call Lucifer kila aina ya majaribio ili mradi tu nimuone huyo SATAN lakini.
Fanya umtafute Dr riziki mkalimalela umueleze, atakupeleka kwa shetani
 
Biblia inasema shetani yupo
Quran inasema shetani yupo
Mungu asema shetani yupo
Shetani mwenyewe anasema yupo
Sasa wewe ni Nani unayepinga? Nenda kwa mganga wa kienyej mwambie nataka kuuza nafsi yangu kwa shetani halafu uone kitakachokupata acha ujinga acha ubishi
Tafuta viongozi wa kiroho wa makanisa ya kipentekoste wakutoe ukungu
 
Wewe umejuaje Na hujawahi kumuona shetani?
 
Baada ya kuona mungu hamjibu akaamua kumuita shetani nae akanyuti. Niwazi unapaswa kurudi tu kwa mola wako.yawezekana unaweza kuwa maharapazuri tu.usikurupuke subra ni bora zaidi.
NAUNGA MKONO HOJA
 
Nimejaribu kila namna lakini wapi.

Ila nilichogundua hii dunia ina uongo mwingi.
Sio kaz nyepec hyo. labda kuita majini sawa wao chapu wanakuja.
  • chora pentagon kwa unga wa sembe usku wa manane chumba kiwe kpana na waz pia patulivu.
  • pentagon kila kona washa mishumaa katikat tandka kitambaa cheupe nawe vaa nyeupe ukiwa msafi. kuna majina utaita mara 1000
BELIZEBUL ET LUSIFER..
  • ukisikia kishindo ujue kumekucha. sasa jichanganye uogope utoke katkat ya pentagon utajuta.
  • ongea nae ulchomwitia mpe na sadaka ya damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…