#COVID19 Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

Molleli

Senior Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
185
Reaction score
165
Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu.

Poor us
 
Juzi niliona DC kapanda dala dala kukagua level saet na waliovaa barakoa cha kushangaza kwenye WAUKAE FESTIVAL Nimeona nyomi la kutosha na mziki mzito kama kawaida na hakuna polisi alopiga bomu la machozi wala kuzima mziki!! Swali ni je! Mikutano ya upinzani ndo pekee inachochea maambukizi au Kuna jambo apa katikati!?
 
Huu mpango alitakiwa aombwe Msiba wa "Bado Mmoja", au Shigongo wauratibu vizuri, ili isionyeshe kwamba umeambatana na drama .
 
Ni kwenye makongamano ya katiba yanayoongozwa na CDM tu ndio kuna hatari ya kupata corona.
Juzi niliona DC kapanda dala dala kukagua level saet na waliovaa barakoa cha kushangaza kwenye WAUKAE FESTIVAL Nimeona nyomi la kutosha na mziki mzito kama kawaida na hakuna polisi alopiga bomu la machozi wala kuzima mziki!! Swali ni je! Mikutano ya upinzani ndo pekee inachochea maambukizi au Kuna jambo apa katikati!?
 
Ni kwenye makongamano ya katiba yanayoongozwa na CDM tu ndio kuna hatari ya kupata corona.
Juzi niliona DC kapanda dala dala kukagua level saet na waliovaa barakoa cha kushangaza kwenye WAUKAE FESTIVAL Nimeona nyomi la kutosha na mziki mzito kama kawaida na hakuna polisi alopiga bomu la machozi wala kuzima mziki!! Swali ni je! Mikutano ya upinzani ndo pekee inachochea maambukizi au Kuna jambo apa katikati!?
 
Hapa jijini jana Mkuu katangaza Barakoa lazima, otherwise unatakiwa ushushwee .
Sasa Kuna haja gani ya kufanya upuuzi kama huu wakati kwenye tamasha la babu tale watu walijaa kama kawaida!!!
 
Juzi niliona DC kapanda dala dala kukagua level saet na waliovaa barakoa cha kushangaza kwenye WAUKAE FESTIVAL Nimeona nyomi la kutosha na mziki mzito kama kawaida na hakuna polisi alopiga bomu la machozi wala kuzima mziki!! Swali ni je! Mikutano ya upinzani ndo pekee inachochea maambukizi au Kuna jambo apa katikati!?
Fuata ushauri wa kuvaa barakoa kwenye misongamano ili kulinda uhai wako. Hiyo nyomi haikuhusu. Wewe chunga uhai wako kwanza - wale wasiotaka kufuata masharti watapata wanachokitafuta siku si nyingi.
 
Corona inadhihirisha watu wengi walivyo na ujinga mwingi sana
 
Back
Top Bottom