Nashangaa mnaolalamika maisha magumu Tanzania

Kwahiyo ni chai ?
 
Inategemea unamaanisha nini kusema "maisha ni magumu". Mimi nafikiria hivi, nikichukua kipato changu na kugiwanganya kwa matumizi ya kila siku, natapata average ya chini ya $2.15 kwa siku. Kiasi hiki hakiniwezeshi kufanya maendeleo ninayotaka, siwezi kupata huduma bora za afya, elimu etc kwa sababu zinahitaji fedha, etc. Hivyo, hata kwa upande wangu, naona maisha ni magumu.
 
Mbona pesa nyingi sana mtaani unakwama wapi mkuu
 
Ulichosema ni kweli Ila mitaji ndio changamotto chief
 
Haka kadogo kacheza kamari kanashauri watu kutafuta pesa.😀😀
Balehe imekupanda kichwani kichwa kinawaza usengerema tu.
 
Wenye Hela hawana Kelele
 
Haka kadogo kacheza kamari kanashauri watu kutafuta pesa.😀😀
Balehe imekupanda kichwani kichwa kinawaza usengerema tu.
Hasira za nini Mimi mbona sio baba Yako Nina watoto wa 5 tu sijazalisha nje ya ndoa halafu wewe wakiume kweli Yaani unapinga kutafuta hela aisee au umeolewa
 
Wewe dogo utakua unaota sisi tunalalamika biashara ngumu. Wewe labda utakua mchunguji maana huko ndio kwenye mihela na sidhan kama kuna kodi inayokatwa.
 
Wewe dogo utakua unaota sisi tunalalamika biashara ngumu. Wewe labda utakua mchunguji maana huko ndio kwenye mihela na sidhan kama kuna kodi inayokatwa.
Biashara ngumu itakua kwako tu jichunguze vizuri maanawenzio biashara zinaenda sana na Kila wiki wanaagiza mizigo mipya na Kodi wanalipa vizuri Kwa furaha Sasa ugumu uko kwako tu
 
Au ni kama kusema "kazi fulani Ina malupulupu sana" (kumaanisha unaweza kukwapua)?
Hamna naona wananchi mitaani wanafurahia maisha wanasema kabisa tanzania imebarikiwa pesa zipo nyingi sana
 
Hasira za nini Mimi mbona sio baba Yako Nina watoto wa 5 tu sijazalisha nje ya ndoa halafu wewe wakiume kweli Yaani unapinga kutafuta hela aisee au umeolewa
Dogo hujui kuficha hata muandiko, ulikuwa na ki ID chako cha ChristopherPaul15 naona umefungua nyingine ila bahati mbaya muandiko umeshindwa kubadilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…