Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Watu kama nyie nawaogopa sana aiseeee..UGUMU wa maisha upo kwenye kichwa chako na matumizi yako
Mkuu, humu Kuna matomaso wengi embu weka ka ushahidi ka pay slip ya international school 😊Nina familia watoto wa 5 na wote nawasomesha international school. Na wote nawatimizia mahitaji yao
Na gari namba E za kutoshaPesa zipo nyingi sana mtaani mbona
Sawa nakuja kutuma nambaNjoo pm nakupa bure sikukopeshi mimi
Uzuri wa #international skuli za tanzania Ada inaanzia tzs 350,000 kwa mwaka mpaka $40,000 kwa mwaka.Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha tanzania ni maraisi sana na pesa zipo nyingi aisee hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni wanalalamika maisha magumu huo ugumu wa maisha Mimi siuoni yaani Mimi Nina watoto wa 5 na wote wanasoma international school maana pesa ipo nyingi sana tanzania hii na maisha yanaendelea kama kawaida naifurahia nchi yangu ya tanzania.
Unaweza fafanua zaidi kauli yako kwa manufaa ya wengi?Nilichogundua kweli pesa ipo ila haikai sehemu yenye kelele na kidomodomo....
Ni kweli, ukiwa mwizi,zulumati,tapeli,mla rushwa, muhujumu uchumi hela ipo nje nje!Pesa nyingi sana tanzania hii wananchi tunafurahia nchi yetu
wewe nawe chenga pesa nyingi umeingia kitaa weweMbona unahasira Mimi sio baba yako hizo mbona pesa ndogo tu Kwa hapa tanzania maana pesa zipo nyingi sana
Umeolewa mrs money huwezi jua wanaume wanavotoa jasho na kutaabika wewe unainama tuKumbe umeolewa duuh pole sana🤣🤣🤣
Clear Dodge.Pesa zipo kibao tu mtaani
Kama wewe ni mwanaume onesha bank statement Yako vinginevyo wewe mnafikiKatika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha tanzania ni maraisi sana na pesa zipo nyingi aisee hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni wanalalamika maisha magumu huo ugumu wa maisha Mimi siuoni yaani Mimi Nina watoto wa 5 na wote wanasoma international school maana pesa ipo nyingi sana tanzania hii na maisha yanaendelea kama kawaida naifurahia nchi yangu ya tanzania.
Kwani nimesema ni zako?Clear Dodge.
Zipo Sawa, Je za kwako ?
Unahasira sana Kwa maisha magumu uliyonayo🤣🤣🤣🤣🤣Kama wewe ni mwanaume onesha bank statement Yako vinginevyo wewe mnafiki
Kumbe umeolewa pole sana endelea kutaabika Kwa kuinamaa 🤣🤣🤣🤣Umeolewa mrs money huwezi jua wanaume wanavotoa jasho na kutaabika wewe unainama tu
Umasikini unakusumbuaNi kweli, ukiwa mwizi,zulumati,tapeli,mla rushwa, muhujumu uchumi hela ipo nje nje!
Pesa ni nyingi sana tanzania hiiMaisha ukijitambua mapema na kuanza kuzisaka ngawira mapema nchi hii nyepesi sana. Tatizo wengi wanashtuka kupambana wakati majukumu yashawabana hususani familia