100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
AiseeeHii redio itakuwa WASAFI FM ambayo watangazaji wake hawalipwi mara baada kazi ya uchawa kusuasua.
Pia ikumbukwe kuwa Pdidy ambaye humvagaa Diamond kwa nyuma na kumpa chochote kitu Yuko korokoroni.
RIP wasafi FM.
Cc Mbaga Jr
KERATO MOMBAA.
Wapi huko Mkuu? Kenya?Watu wegoma kisa mishahara ndio maana hata soka halichambuliwi😂🤣😂mambo yanaanza kuwa magumu kila kona.
Unadhani huu mchakato wa oktoba umetumia pesa kidogo?Baada ya muda hata serikalini kwenye mishahara wataanza kutafutana kwa torch. Hapo ndipo patakuwa patamu sana maana hao chawa ambao hununuliwa na wao watawageuka kutokana na posho kukatika na mishahara.
Simple like that 😎.Aiseee
Itakuwa mheshimiwa Baba Levo hapokei simu. Walivo na njaa si anaweza kushindwa kumalizia mjengo wake kisa vizinga!Wamtafute mheshimiwa mbunge baba LEVO awasaidie kulipa mishahara ya watangazaji!!
You tube tu unawapataKwa sasa hata radio za nje kama DW, BBC SWAHILI hatuzipati kwenye baadhi ya radio nchini.. U FM, RFA sijui wanahofia nini kuunganisha Habari
Hii imeniuma..nimelia sanaaa😭😭😭Hii redio itakuwa WASAFI FM ambayo watangazaji wake hawalipwi mara baada kazi ya uchawa kusuasua.
Pia ikumbukwe kuwa Pdidy ambaye humvagaa Diamond kwa nyuma na kumpa chochote kitu Yuko korokoroni.
RIP wasafi FM.
Cc Mbaga Jr
KERATO MOMBAA.
Pole sana mkuu, hata mimi nimelia sana.Hii imeniuma..nimelia sanaaa😭😭😭
Mbona BBC Swahili inarushwa kila siku Star Tv.Kwa sasa hata radio za nje kama DW, BBC SWAHILI hatuzipati kwenye baadhi ya radio nchini.. U FM, RFA sijui wanahofia nini kuunganisha Habari
Habari yako haijakamilikaWatu wegoma kisa mishahara ndio maana hata soka halichambuliwi😂🤣😂mambo yanaanza kuwa magumu kila kona.
Something is wrong somewhere!Hii redio itakuwa WASAFI FM ambayo watangazaji wake hawalipwi mara baada kazi ya uchawa kusuasua.
Pia ikumbukwe kuwa Pdidy ambaye humvagaa Diamond kwa nyuma na kumpa chochote kitu Yuko korokoroni.
RIP wasafi FM.
Cc Mbaga Jr
KERATO MOMBAA.
Radio station hawarushi.Mbona BBC Swahili inarushwa kila siku Star Tv.
Mkuu kwa nini unatetea hawa wezi? 😂.Something is wrong somewhere!
Naomba ninyamaze
Wasafi fm kipindi cha michezo wanapiga mziki tuFafanua kwa kina mkuu maana nimetoka kapa na makende yangu.