King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Duuh aiseee hivi wapo kweli? Kuna siku nilifungua Youtube minyama nikamuona hando peke yake Mussa kipanya wala Salma dakota hawapo....Inasikitisha sana.Wachafu Fm siku hizi ni ngoma tu hasubui mpaka hasubui.
huo ndio unoko sasa, umeshashuhudia simba ikipigwa sasa ulitaka kwenda kusikiliza nini mkuu?Siku simba amepigwa kipigo cha mbwa koko nikasema ngoja nifungulie michezo wasafi fm nikakuta ni mziki unapigwa.
Utakuwa unazungumzia hii
Pale kuna njaa sanaWatangazaji wa RFA ndio wanaongoza kwa migomo, kuna kipindi alibaki Rebecca Mulesi tu ndio alikuwa anaendesha vipindi karibu vyote
Kawaida hiyo huwa sipendi kusikiliza michezo . Lakini simba ikifungwa vipindi vyote nitasikiliza siku nzima sijui ni kwaninihuo ndio unoko sasa, umeshashuhudia simba ikipigwa sasa ulitaka kwenda kusikiliza nini mkuu?
Duuh kuna panga la pili limepita?Watangazaji wamebanwa kwenye ile Ithibati ya uandishi wa habari
Hao akina Kipanya huwa wanakuwepo mara moja moja sana, yaan siku hizi kipindi rasimi kilichobaki ni hicho cha wazee wa minyama basi tu.Duuh aiseee hivi wapo kweli? Kuna siku nilifungua Youtube minyama nikamuona hando peke yake Mussa kipanya wala Salma dakota hawapo....Inasikitisha sana.
Wameminywa kisawa sawa kwenye hiyo issue ya ithibati na watangazaji wengi walikuwa hawana na hawajasomea taaluma ya uandishi wa habariDuuh kuna panga la pili limepita?