Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.

Wawe zinakutosha Kweli? Watanzania tulimfanyia Nini hadi utuite wapumbavu?
Je Kuna uchaguzi wamawaziri , useme tukimnyima kura?

Kiufupi ,aliingia kwa majaribio, ameonekana hatoshi kachomolewa ameingia anae fiti .

Na huyo Gwajima wako sio mtaalam wakwaza kuwekwa hapo na kutolewa.
David Mwacyusa nae alitoka wakaingia wengine.
 
Inasikitisha sana, jitihada zaidi zinahitajika; hiyo ni vita ya propaganda ili kupunguza, inataka team work na ambayo uwezi kuitangaza hapa.
 
Siwezi kuongea kwa niaba ya kila waziri wa afya toka uhuru. Naweza zungumzia wataalamu wa muda wangu na uelewa wangu given the bunch.

Na Dr Gwajima hana mpinzani provided unaelewa medical management.
 
Siwezi kuongea kwa niaba ya kila waziri wa afya toka uhuru. Naweza zungumzia wataalamu wa muda wangu na uelewa wangu given the bunch.

Na Dr Gwajima hana mpinzani provided unaelewa medical management.
Hivi kwa nini huwa hamumlinganishi na sifa za wizi, ula rushwa, ufitini na ukandamizaji wa haki na vitu kama hivyo? Mbona mara zote mnakuja na ajenda za kitoto toto kwa huyu mama? Hivi mnajua jinsi gani anagusa maisha ya watu wanyonge zaidi? Waulize watu wa chini kabisa. Vema tuungane naye kwenye SMAUJATA tukapinge ukatili, tutangaze naye namba 116 Ili watu wakiona dalili za ukatili au ukatili watoe taarifa na kama hawapokelewi huko wamtumie ujumbe yeye binafsi kwenye 0734124191 au 0765345777 halafu Sasa mtaona moto wake.

Acheni wazalendo wachache waliobakia wafanye kazi walau wanyonge wasio na simu janja za kupiga porojo kama nyie humu wapate faraja. Hiyo afya kaeni nayo wenyewe maana alipoanzisha ukaguzi wa dawa na ukaguzi wa huduma za tiba na hela zikiwemo za bima aligusa mifuko yenu na mkasikilizwa. Sasa si mlishinda yamepita, yamekuwa mapya, shida nini sasa? Tulieni au jiungeni na SMAUJATA fomu hiyo hapo.
 
Mtu timamu anaelewa how people can act in desperation, we both the kowtow terms of being a minister.

Na sina shida na mtu anaetetea zake hoja on merit. Ila mtu asie na hoja na silaha yake ni character assassination tafsiri yangu ni njaa. Na tujifunze kuishi nazo sio kujipendekeza kama mtu asie na mbinu mbadala za maisha yake.
 
Unamkumbuka huyo mtu kipindi cha Corona na Jiwe?
 
Labda serikali iliona Gwajima kichwa chake kama kimelegea
Hivi kwa nini huwa hamumlinganishi na sifa za wizi, ula rushwa, ufitini na ukandamizaji wa haki na vitu kama hivyo? Mbona mara zote mnakuja na ajenda za kitoto toto kwa huyu mama? Hivi mnajua jinsi gani anagusa maisha ya watu wanyonge zaidi? Waulize watu wa chini kabisa. Vema tuungane naye kwenye SMAUJATA tukapinge ukatili, tutangaze naye namba 116 Ili watu wakiona dalili za ukatili au ukatili watoe taarifa na kama hawapokelewi huko wamtumie ujumbe yeye binafsi kwenye 0734124191 au 0765345777 halafu Sasa mtaona moto wake.

Acheni wazalendo wachache waliobakia wafanye kazi walau wanyonge wasio na simu janja za kupiga porojo kama nyie humu wapate faraja. Hiyo afya kaeni nayo wenyewe maana alipoanzisha ukaguzi wa dawa na ukaguzi wa huduma za tiba na hela zikiwemo za bima aligusa mifuko yenu na mkasikilizwa. Sasa si mlishinda yamepita, yamekuwa mapya, shida nini sasa? Tulieni au jiungeni na SMAUJATA fomu hiyo hapo.
 
Uwaziri ni cheo cha kisiasa tu nchi hii, huyu unayempamba japo ni mtaalamu wa afya ni mwanasiasa pia.
 
Tatizo la hawa wasomi wetu hata kama ni wasomi na wanafanya kazi kwa weledi wakishaingia CCM mambo yao wanayafanya ili kuwaridhisha walio juu yao hawatumii tena taaluma yao

Dorothy Gwajima ni msomi lakini kipindi cha jiwe CORONA iliposhamiri aliiweka taaluma pembeni ili tu amridhishe jiwe.
 
Una hoja wazungu wana kitu wanaita joints strategic framework za halmashari zimejikita kulinda maslahi ya vulnerable people kwenye jamii.

Ni story ndefu na hiyo ndio wizara ya Dr.Gwajima, ila kutekeleza hizo strategic frameworks ni story ndefu and adapting to Tanzani perspective on top of that unahitaji national propaganda which is consistent.

Ndio maana unaona mambo mengine sio yetu, ila kama kuna mtu anaiweza afya kwanini atupwe. Binafsi huko alipo Dr Gwajima given the fact health and social services sio kitu kimoja Tanzania she is just average.
 
Niwatakie asubuhi njema wote mlioshiriki mjadala huu.

Asanteni
👋👋👋👋
 
Mimi kinachonishangaza kwanini toka enzi waziri Umy katika afya ni yeye tu kwani msomi ktk wizara hiyo ni yeye tu?
 
Ni mzuri sana ila too much talk yule mama mpaka sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…