Nashangaa wanaoshangilia watoto wao kupata Division One na Two wakati waliwapeleka shule za gharama

Nashangaa wanaoshangilia watoto wao kupata Division One na Two wakati waliwapeleka shule za gharama

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha.

Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia mnashangilia!

Kwa ada mnazolipa na mazingira wanayosomea hao watoto ni jukumu lake kufaulu so sioni haja ya nyie kushoboka sana.

Tuachieni sisi wa Kayumba ndiyo tusherehekee.
 
Sio kila anaepelekwa shule za gharama hufaulu, mwanaisha mtoto wa Kikwete aliwahi kupata div 4 hapohapo feza girls,acha washangilie maana haikuzuii hata wewe wa kishumundu kushangilia
 
sio kila anaepelekwa shule za gharama hufaulu, mwanaisha mtoto wa Kikwete aliwahi kupata div 4 hapohapo feza girls,acha washangilie maana haikuzuii hata wewe wa kishumundu kushangilia
Huyo anaonekana alikua haingii class kabisa
 
Tanzania ina safari ndefu sana, tangu Bi Mikopo aidhinishe zile tozo na kujichotea mipesa kutoka IMF. Au niseme na J & J imechangia kuwafanya watu wachanganikiwe?
 
Somesha mtoto shule nzuri ukiweza acha wenge
Shule nzuri ni ipi, acha ulimbukeni, nachoona watu wanaliwa kwa kupenda misifa ya kijinga na kujenga social classes zisizo na maana. Nenda Ulaya uone km upuuzi huu wa kwetu upo kwao. Ile ni biashara tu wajinga wanaliwa bure, watoto wanakaririshwa mitihani wakifika vyuo vikuu hakuna kitu wanapasua wale waliotoka shule za serikali. Tuache kufaidisha wajanja wachache tuboreshe shule zetu za umma na tupende vya kwetu tulivyojenga kwa pesa zetu. Tuache kutumikishwa na watu wachache. Nilitegemea mtanzania mzalendo angesikitika kuona shule zetu za umma zikifanya vibaya.
 
Ulaya ipi,
 
Back
Top Bottom