Alipata Hilo Daraja Mpaka Leo Taarifa ZipoAnafelije kwenye hizo shule
Acha wivu .Wapunguze shobo tuu..
Unafanana boss.Mfano wako haufananiii na hali halisi mkuu
Shule nzuri ni ipi, acha ulimbukeni, nachoona watu wanaliwa kwa kupenda misifa ya kijinga na kujenga social classes zisizo na maana. Nenda Ulaya uone km upuuzi huu wa kwetu upo kwao. Ile ni biashara tu wajinga wanaliwa bure, watoto wanakaririshwa mitihani wakifika vyuo vikuu hakuna kitu wanapasua wale waliotoka shule za serikali. Tuache kufaidisha wajanja wachache tuboreshe shule zetu za umma na tupende vya kwetu tulivyojenga kwa pesa zetu. Tuache kutumikishwa na watu wachache. Nilitegemea mtanzania mzalendo angesikitika kuona shule zetu za umma zikifanya vibaya.Somesha mtoto shule nzuri ukiweza acha wenge
Shule nzuri ni ipi, acha ulimbukeni, nachoona watu wanaliwa kwa kupenda misifa ya kijinga na kujenga social classes zisizo na maana. Nenda Ulaya uone km upuuzi huu wa kwetu upo kwao. Ile ni biashara tu wajinga wanaliwa bure, watoto wanakaririshwa mitihani wakifika vyuo vikuu hakuna kitu wanapasua wale waliotoka shule za serikali. Tuache kufaidisha wajanja wachache tuboreshe shule zetu za umma na tupende vya kwetu tulivyojenga kwa pesa zetu. Tuache kutumikishwa na watu wachache. Nilitegemea mtanzania mzalendo angesikitika kuona shule zetu za umma zikifanya vibaya.