Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha.
Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia mnashangilia!
Kwa ada mnazolipa na mazingira wanayosomea hao watoto ni jukumu lake kufaulu so sioni haja ya nyie kushoboka sana.
Tuachieni sisi wa Kayumba ndiyo tusherehekee.