Nashangazwa sana na watu wa Pwani hasa Tanga wana mambo ya ajabu sana

Nashangazwa sana na watu wa Pwani hasa Tanga wana mambo ya ajabu sana

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
458
Watu wa pwani hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni mnakera Sana sijawahi kuona watu wenye roho za kwanini na mbaya kama watu wa pwani na nyie mnasababissha mpaka uislamu uonekane ni mbaya kwasababu ya tabia zetu yaani nyie wengi wenu ila sio wote mnajifanya mna dini kwenye maongezi yenu mnamtaja mwenyezimungu kutwa mara kumi

Yaani huku ni vituko hasa hasa kuna wilaya inaitwa Pangani yaani huku ndiyo funga kazi aloo yaani watu wengi wanaenda kwenye misiba lengo tu waende kula wasipopikiwa Chakula wananuna na kusema maneno juu, na huku

Sasa siku itokee sherehe sehemu watu wataacha kupika yaani mama na baba wote wanakusanyikana kwenda kula yaani hapo nyumbani hakupikwi kabisa, na hawa watu wana roho mbaya hawapendi mgeni apate hata kidogo na kingine mtu wa Tanga hasa hasa huku Pangani mtu kukaribisha Chakula sahau kuhusu hilo hawa watu wachoyo sana sijawahi kuona na pia wao kusema ahsante ni mbingu na ardhi hawa watu wa hovyo sana aisee halafu kujipendekeza na kupenda sifa hawajambo hawa watu
 
Niliwahi fika tanga hapo, kuna mshangazi mmoja alinimwagia asali na kunipaka mwili mzima, wacha aanze kunilamba aiseee ilinibidi niongeze siku mbili za ziada kwa namna mahaba yalivyo nivuruga, ndipo nilijua shughuli ya asali kwa binti wa kitanga mazeee...😜
Tanga yao ni mahaba tu shekh, mengine mtagombana tu...🤣
 
Hapana kuna watu wanajifanya wajuaji sana! Wana pesa sana! Na wana connection sana! Hawa dawa yao ni kipapai tuu
Uchawi hoyeee... Ndumba hoyeee.... Ulozi hoyeee....😂😂😂😂 ukijua hivi wenzako wanajua vile 🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🤣
 
Hapana kuna watu wanajifanya wajuaji sana! Wana pesa sana! Na wana connection sana! Hawa dawa yao ni kipapai tuu
Uchawi hoyeee... Ndumba hoyeee.... Ulozi hoyeee....😂😂😂😂 ukijua hivi wenzako wanajua vile 🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🤣
 
Niliwahi fika tanga hapo, kuna mshangazi mmoja alinimwagia asali na kunipaka mwili mzima, wacha aanze kunilamba aiseee ilinibidi niongeze siku mbili za ziada kwa namna mahaba yalivyo nivuruga, ndipo nilijua shughuli ya asali kwa binti wa kitanga mazeee...😜
Tanga yao ni mahaba tu shekh, mengine mtagombana tu...🤣
Tunduja hazijaoshwa na chicha la nazi?
Sabuni haikuwekwa kwenye kisosi chenye tui la nazi?
Maji hayakutiwa mdalasini?
Hukufungwa kitenge chenye manukano?😂
Hukuogeshwa huku umewekewa taarab ya "makhaba ya dhati!?"😀
 
Wewe mshamba, umeleta dharau, lazima uletewe piga saizi yako. Huku harusi watu wanakula public, wale wanaoenda ukumbini na kuingia kwa kadi, itawaitaje?

Chakula acho porojo. Tanga ni namba moja, ukilala njaa ni wewe kama una aibu... Pakiwa na sherehe lazima watu wapike, wanakula wote, uwe umechangia au laah.

Kama uliingia kwa dharau basi utajuta kuzaliwa; hautaki kusalimia watu. Tanga hata biashara ya kuuza maji imekufa kitambo, maji ni bwerere kwenye misikiti, tena kwa sasa wanaweka na kifriji kidogo.

Mwakani tuna mpango wa kuwekea water dispenser nje ya misikiti. Anakunywa yeyote yule, kikubwa awe binadamu.
 
Tanga🤓🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 wallah sikuwahi kudhani kama zinamung'unywa na asali iliyowekwa anjari😂😂😂 halafu sijawahi kudhani vidole vinaweza kufyonzwa mpaka vika vibrate,😂
Huyo jamaa kaingia kwa pupa ,atakimbia mji nafikiria ni hawa ajira mpya na mashati yao yale ya satini.
 
Kunani pale

1756917993070.png
 
Watu wa pwanai hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni mnakera Sana sijawahi kuona watu wenye roho za kwanini na mbaya kama watu wa pwani na nyie mnasababissha mpaka uislamu uonekane ni mbaya kwasababu ya tabia zetu yaani nyie wengi wenu ila sio wote mnajifanya mna dini kwenye maongezi yenu mnamtaja mwenyezimungu kutwa mara kumi

Yaani huku ni vituko hasa hasa kuna wilaya inaitwa Pangani yaani huku ndiyo funga kazi aloo yaani watu wengi wanaenda kwenye misiba lengo tu waende kula wasipopikiwa Chakula wananuna na kusema maneno juu,na huku

Sasa siku itokee sherehe sehemu watu wataacha kupika yaani mama na baba wote wanakusanyikana kwenda kula yaani hapo nyumbani hakupikwi kabisa,na hawa watu wana roho mbaya hawapendi mgeni apate hata kidogo na kingine mtu wa Tanga hasa hasa huku Pangani mtu kukaribisha Chakula sahau kuhusu hilo hawa watu wachoyo sana sijawahi kuona na pia wao kusema ahsante ni mbingu na ardhi hawa watu wa hovyo sana aisee halafu kujipendekeza na kupenda sifa hawajambo hawa watu

Huna hela wewe
Tafuta hela uache kujielezaeleza

1756918266705.png
 
Back
Top Bottom