Watu wa pwanai hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni mnakera Sana sijawahi kuona watu wenye roho za kwanini na mbaya kama watu wa pwani na nyie mnasababissha mpaka uislamu uonekane ni mbaya kwasababu ya tabia zetu yaani nyie wengi wenu ila sio wote mnajifanya mna dini kwenye maongezi yenu mnamtaja mwenyezimungu kutwa mara kumi
Yaani huku ni vituko hasa hasa kuna wilaya inaitwa Pangani yaani huku ndiyo funga kazi aloo yaani watu wengi wanaenda kwenye misiba lengo tu waende kula wasipopikiwa Chakula wananuna na kusema maneno juu,na huku
Sasa siku itokee sherehe sehemu watu wataacha kupika yaani mama na baba wote wanakusanyikana kwenda kula yaani hapo nyumbani hakupikwi kabisa,na hawa watu wana roho mbaya hawapendi mgeni apate hata kidogo na kingine mtu wa Tanga hasa hasa huku Pangani mtu kukaribisha Chakula sahau kuhusu hilo hawa watu wachoyo sana sijawahi kuona na pia wao kusema ahsante ni mbingu na ardhi hawa watu wa hovyo sana aisee halafu kujipendekeza na kupenda sifa hawajambo hawa watu