Wewe mshamba umeleta dharau lazima uletewe piga saizi yako ,huku harusi watu wanakula public wale wanaoenda kwenye ukumbini na kuingia kwa kadi itawaitaje?
Chakula acho porojo, Tanga ni namba moja ukilala njaa ni wewe kama una aibu ... pakiwa na sherehe lazima watu wapike ,wanakula wote uwe umechangia au laah ..
Kama uliingia kwa dharau basi utajuta kuzaliwa ; hautaki kusalimia watu . Tanga hata biashara ya kuuza maji imekufa kitambo ,maji ni bwerere kwenye misikiti ,tena kwa sasa wanaweka na kifriji kidogo
.
Mwakani tuna mpango wa kuweke water dispenser nje ya misikiti ,anakunywa yeyote yule kikubwa awe binadamu