mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
Tunduja hazijaoshwa na chicha la nazi?Niliwahi fika tanga hapo, kuna mshangazi mmoja alinimwagia asali na kunipaka mwili mzima, wacha aanze kunilamba aiseee ilinibidi niongeze siku mbili za ziada kwa namna mahaba yalivyo nivuruga, ndipo nilijua shughuli ya asali kwa binti wa kitanga mazeee...😜
Tanga yao ni mahaba tu shekh, mengine mtagombana tu...🤣
Huyo jamaa kaingia kwa pupa ,atakimbia mji nafikiria ni hawa ajira mpya na mashati yao yale ya satini.Tanga🤓🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 wallah sikuwahi kudhani kama zinamung'unywa na asali iliyowekwa anjari😂😂😂 halafu sijawahi kudhani vidole vinaweza kufyonzwa mpaka vika vibrate,😂
Tanga kuna mabusha ya kutengeneza maalum kwa ajili ya mahaba .. Ni tech ya mbele sana.. Wasukuma enzi hizo waliyapewa SanaMbona unalia sana, umeoteshwa busha la upande gani?
Sasa ukipewa hili si ndo wamekumaliza kabisa kwa sie wazee wa moka. Maana hapo ni mwendo wa msuli tuTanga kuna mabusha ya kutengeneza maalum kwa ajili ya mahaba .. Ni tech ya mbele sana.. Wasukuma enzi hizo waliyapewa Sana
Mshana weeeeee,nakuita kaka Rudi nyumbaniTanga🤓🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 wallah sikuwahi kudhani kama zinamung'unywa na asali iliyowekwa anjari😂😂😂 halafu sijawahi kudhani vidole vinaweza kufyonzwa mpaka vika vibrate,😂
Waliyapewa sana Wasukuma na WarundiSasa ukipewa hili si ndo wamekumaliza kabisa kwa sie wazee wa moka. Maana hapo ni mwendo wa msuli tu
Watu wa pwanai hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni mnakera Sana sijawahi kuona watu wenye roho za kwanini na mbaya kama watu wa pwani na nyie mnasababissha mpaka uislamu uonekane ni mbaya kwasababu ya tabia zetu yaani nyie wengi wenu ila sio wote mnajifanya mna dini kwenye maongezi yenu mnamtaja mwenyezimungu kutwa mara kumi
Yaani huku ni vituko hasa hasa kuna wilaya inaitwa Pangani yaani huku ndiyo funga kazi aloo yaani watu wengi wanaenda kwenye misiba lengo tu waende kula wasipopikiwa Chakula wananuna na kusema maneno juu,na huku
Sasa siku itokee sherehe sehemu watu wataacha kupika yaani mama na baba wote wanakusanyikana kwenda kula yaani hapo nyumbani hakupikwi kabisa,na hawa watu wana roho mbaya hawapendi mgeni apate hata kidogo na kingine mtu wa Tanga hasa hasa huku Pangani mtu kukaribisha Chakula sahau kuhusu hilo hawa watu wachoyo sana sijawahi kuona na pia wao kusema ahsante ni mbingu na ardhi hawa watu wa hovyo sana aisee halafu kujipendekeza na kupenda sifa hawajambo hawa watu
Kikombe kimeniepuka japo a bit too late😂Mshana weeeeee,nakuita kaka Rudi nyumbani
Hii sio Tanga 😂 !!! Tanga wanatumia kigoda na dishi sio dishi na kigoda! (Experience matters😀)
Mbona kama mtoa mada ni Ke?Mbona unalia sana, umeoteshwa busha la upande gani?