Halafu sio " wachoyo"๐๐คฃKuna kadada kamodo nilikutana nako ile guestroom pale barabara ya 16! Aseee kale kadada kanaweza kulombana balaaa!!
Tanga bwana napapenda, watu wapo na mioyo myeupe wala hawa complicate mambo!!
Tanga narudi๐๐๐๐
Duh! Ngoja tuendelee kusoma biblia na kufunga NovenaWaliyapewa sana Wasukuma na Warundi
Hahahaha๐๐๐๐คฃ๐คฃ Ila Novena sio poa ujue haikwepeshi haipindishiDuh! Ngoja tuendelee kusoma biblia na kufunga Novena
HahahahNiliwahi fika tanga hapo, kuna mshangazi mmoja alinimwagia asali na kunipaka mwili mzima, wacha aanze kunilamba aiseee ilinibidi niongeze siku mbili za ziada kwa namna mahaba yalivyo nivuruga, ndipo nilijua shughuli ya asali kwa binti wa kitanga mazeee...๐
Tanga yao ni mahaba tu shekh, mengine mtagombana tu...๐คฃ
Watu wa Pwani wapo pia wakristo wa asili na wapo qasiomna dini.Kama Tanga kunacwilaya za Mheza,wkristo ni asilimia 90,Korogwe qslimia 90,Lushoto aslimia 30,Tang mjini nia silimia50,Mkingq asilimia 20,Handeni asilimia 40,Pangani asilimia 25,sio Tanga yote ni waidlamu watupuWatu wa pwanai hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni mnakera Sana sijawahi kuona watu wenye roho za kwanini na mbaya kama watu wa pwani na nyie mnasababissha mpaka uislamu uonekane ni mbaya kwasababu ya tabia zetu yaani nyie wengi wenu ila sio wote mnajifanya mna dini kwenye maongezi yenu mnamtaja mwenyezimungu kutwa mara kumi
Yaani huku ni vituko hasa hasa kuna wilaya inaitwa Pangani yaani huku ndiyo funga kazi aloo yaani watu wengi wanaenda kwenye misiba lengo tu waende kula wasipopikiwa Chakula wananuna na kusema maneno juu,na huku
Sasa siku itokee sherehe sehemu watu wataacha kupika yaani mama na baba wote wanakusanyikana kwenda kula yaani hapo nyumbani hakupikwi kabisa,na hawa watu wana roho mbaya hawapendi mgeni apate hata kidogo na kingine mtu wa Tanga hasa hasa huku Pangani mtu kukaribisha Chakula sahau kuhusu hilo hawa watu wachoyo sana sijawahi kuona na pia wao kusema ahsante ni mbingu na ardhi hawa watu wa hovyo sana aisee halafu kujipendekeza na kupenda sifa hawajambo hawa watu
Makondoo ndivyo yalivyo yanapenda kudharau wenzao,njoo huku nyanda za juu kusini yanaishi hovyo halafu ni mashirikina balaa bila kumuomba Mungu saana hutoboi kwenye biasharaWewe mshamba umeleta dharau lazima uletewe piga saizi yako ,huku harusi watu wanakula public wale wanaoenda kwenye ukumbini na kuingia kwa kadi itawaitaje?
Chakula acho porojo, Tanga ni namba moja ukilala njaa ni wewe kama una aibu ... pakiwa na sherehe lazima watu wapike ,wanakula wote uwe umechangia au laah ..
Kama uliingia kwa dharau basi utajuta kuzaliwa ; hautaki kusalimia watu . Tanga hata biashara ya kuuza maji imekufa kitambo ,maji ni bwerere kwenye misikiti ,tena kwa sasa wanaweka na kifriji kidogo
.
Mwakani tuna mpango wa kuweke water dispenser nje ya misikiti ,anakunywa yeyote yule kikubwa awe binadamu
Pole sana mhishimiwa.Walikunyima nyama?Watu wa pwanai hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni mnakera Sana sijawahi kuona watu wenye roho za kwanini na mbaya kama watu wa pwani na nyie mnasababissha mpaka uislamu uonekane ni mbaya kwasababu ya tabia zetu yaani nyie wengi wenu ila sio wote mnajifanya mna dini kwenye maongezi yenu mnamtaja mwenyezimungu kutwa mara kumi
Yaani huku ni vituko hasa hasa kuna wilaya inaitwa Pangani yaani huku ndiyo funga kazi aloo yaani watu wengi wanaenda kwenye misiba lengo tu waende kula wasipopikiwa Chakula wananuna na kusema maneno juu,na huku
Sasa siku itokee sherehe sehemu watu wataacha kupika yaani mama na baba wote wanakusanyikana kwenda kula yaani hapo nyumbani hakupikwi kabisa,na hawa watu wana roho mbaya hawapendi mgeni apate hata kidogo na kingine mtu wa Tanga hasa hasa huku Pangani mtu kukaribisha Chakula sahau kuhusu hilo hawa watu wachoyo sana sijawahi kuona na pia wao kusema ahsante ni mbingu na ardhi hawa watu wa hovyo sana aisee halafu kujipendekeza na kupenda sifa hawajambo hawa watu
Watu wa pwani wamenikaaa kushoto ata kama nipo kazini na watu wa pwani wote na wadharau kiufupi siwezi jenga mazoea na waswahili vina uswahili mwingi mno
Sijioni hila ukweli ndiyo uho watu wa pwani mila zao za kiswahili sana uwezi kuniambia kitu nika elewa kuhusu watu wa pwani ata kidogoUnajiona Sana Kaka
Ukipata muda njoo umalila utarudi hapa kuwaomba msamaha wanajamvi
Mh basi bwana ila sio vizuri kabisa sio wote wako hivyo ,vipi Mimi unanionaje nina shida hiyo ?Sijioni hila ukweli ndiyo uho watu wa pwani mila zao za kiswahili sana uwezi kuniambia kitu nika elewa kuhusu watu wa pwani ata kidogo
No offense bro nilikuwa nazungumzia general culture ya pwani not you personally kila mtu ni unique hila vitabia vyao sivipendi uswahili mwingi mnoMh basi bwana ila sio vizuri kabisa sio wote wako hivyo ,vipi Mimi unanionaje nina shida hiyo ?
Hapo sawa Kaka ,japo ukweli unauma broNo offense bro nilikuwa nazungumzia general culture ya pwani not you personally kila mtu ni unique hila vitabia vyao sivipendi uswahili mwingi mno
Rudi kwenu baraWatu wa pwani wamenikaaa kushoto ata kama nipo kazini na watu wa pwani wote na wadharau kiufupi siwezi jenga mazoea na waswahili vina uswahili mwingi mno
Ndugu mleta maada hujui kwamba msiba ni sherehe lazima watu waleWatu wa pwanai hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni mnakera Sana sijawahi kuona watu wenye roho za kwanini na mbaya kama watu wa pwani na nyie mnasababissha mpaka uislamu uonekane ni mbaya kwasababu ya tabia zetu yaani nyie wengi wenu ila sio wote mnajifanya mna dini kwenye maongezi yenu mnamtaja mwenyezimungu kutwa mara kumi
Yaani huku ni vituko hasa hasa kuna wilaya inaitwa Pangani yaani huku ndiyo funga kazi aloo yaani watu wengi wanaenda kwenye misiba lengo tu waende kula wasipopikiwa Chakula wananuna na kusema maneno juu,na huku
Sasa siku itokee sherehe sehemu watu wataacha kupika yaani mama na baba wote wanakusanyikana kwenda kula yaani hapo nyumbani hakupikwi kabisa,na hawa watu wana roho mbaya hawapendi mgeni apate hata kidogo na kingine mtu wa Tanga hasa hasa huku Pangani mtu kukaribisha Chakula sahau kuhusu hilo hawa watu wachoyo sana sijawahi kuona na pia wao kusema ahsante ni mbingu na ardhi hawa watu wa hovyo sana aisee halafu kujipendekeza na kupenda sifa hawajambo hawa watu
Uchawi wa kulogewa kibyongo, bushaHuyo jamaa kaingia kwa pupa ,atakimbia mji nafikiria ni hawa ajira mpya na mashati yao yale ya satini.