Nashangazwa sana na watu wa Pwani hasa Tanga wana mambo ya ajabu sana

Makondoo ndivyo yalivyo yanapenda kudharau wenzao,njoo huku nyanda za juu kusini yanaishi hovyo halafu ni mashirikina balaa bila kumuomba Mungu saana hutoboi kwenye biashara
Wajinga sana hao ,yaani hajui hata kuunganisha :mara aseme kwenye sherehe wanaenda kula familia ,halafu anasema tena eti wachoyoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona Kuna wengine wamekuja huku mkoani wako poa tu
 
Vidole gani mume? Vya mikono...vya miguu au lile Dole kubwa?
Ila hapo kwenye asali na anjari πŸ™ŒπŸ˜‡...sio poa
 
Mimi sio mtu wa Tanga, lakini naomba usiikashifu Tanga kwa namna yoyote. Bora utukane CCM yote.
Na week end ijayo nitakuwa Mitaa ya Nguvumali, Majani mapana na Mwamboni.
Tanga Rahaaaaa. Salmaaaa!, naja!!!!
I
 
We nae umezidi kuw
Watu wa pwani wamenikaaa kushoto ata kama nipo kazini na watu wa pwani wote na wadharau kiufupi siwezi jenga mazoea na waswahili vina uswahili mwingi mno
a mjinga we ni wa wapi? Kuna watu wa pwani wapo wamekuzidi kila kitu acha ushenzi na ubaguzi wa kipuuzi wewe
 
Tanga umefuata nini?
Tulia kwenu.
Bata wahedi
Keshapakwa kasumba huko atokako na sijui kama si kanisani.
Anadharau wenyeji wake pengine yeye mwenyewe akienda chooni hata maji hayajui. SHENZ TAIP
 
Tanga kuna akina kaka wanashikishwa ukuta, mambo ya pwani taarabu haikosekani
 
Kuna Tanganians.. mitoto ya kitanga. Wanaume kwa wanawake wamelegea sana...wanajua tu kufanya na kutukana
 
We nae umezidi kuw
a mjinga we ni wa wapi? Kuna watu wa pwani wapo wamekuzidi kila kitu acha ushenzi na ubaguzi wa kipuuzi wewe
Pole sijabagua mtu ila ndy ukweli nilijua watu kama wewe awatakosekana
 
Kwahiyo mkuu huu, huzijui tabia za wasomari? Anyway sio tanga au pwani pekee tembelea na Bara mkoa wa Ruvuma kujifunza maisha
 
Vidole gani mume? Vya mikono...vya miguu au lile Dole kubwa?
Ila hapo kwenye asali na anjari πŸ™ŒπŸ˜‡...sio poa
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί usije hukuuuuπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…