Nashangazwa sana na watu wa Pwani hasa Tanga wana mambo ya ajabu sana

Mara ya kwanza kufika Tanga nilikutana na mtoto mmoja alinikarimu aiseee ule ukarimu sijawahi kukutana nao Tanzania yote, ikabidi niongeze siku ile naondoka nikampa pesa kama shukrani alikataa katu katu, aseee niliona haya maajabu.
 
😂😂😂😂Mkunga umeamua kutufunda Watanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…