100%
Kwanini nasema hivi, kwanza Quora ukiuliza swali mfano kwanini Toronto inazidiwa uzuri na Vegas utajibiwa na watu wanaoishi sehemu zote mbili au waliofika either sehemu zote au mojawapo!
Kuna swali liliwahi kuulizwa humu kwanini Dubai ni maarufu na inafanya mambo ya ki-western sana kuliko Emirates zingine, na lingine ni NYC na Dubai ni sehemu gani nzuri ya kuishi, nilichokifanya nikaingia Quora nikakutana na majibu yasiyopungua Laki 3! Na wote wanaojibu wanaishi ni eidha wameishi Dubai kwa muda mrefu na hawaishi huko tena, wanaoondelea kuishi, na wazawa wa pande zote NYC na Dubai.
Sasa humu JF majibu ya vile utayapata wapi?