Nashangazwa sana Raia wote wa Hong Kong majina yao ya kwanza ni ya Kiingereza na Kiyahudi

Nashangazwa sana Raia wote wa Hong Kong majina yao ya kwanza ni ya Kiingereza na Kiyahudi

Nilifanya kazi Wall St. na jamaa mmoja kutoka Hong Kong.

Alikuwa na jina la kwanza Kikristo.

Lakini niligundua lile lilikuwa jina la kuwarahishia Wamarekani kazi. Jina lake halisi la kichina alikuwa nalo pia.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kuna mmoja nilifanya nae, kumuuliza jina eti 'Esta' nkapigwa butwaa. Baadae akasema ana la kikwao pia. Kumbe hiyo Esta ni akiwa nchi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja nilifanya nae, kumuuliza jina eti 'Esta' nkapigwa butwaa. Baadae akasema ana la kikwao pia. Kumbe hiyo Esta ni akiwa nchi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
... duh! Kwa hiyo ni kama barmaids huku kwetu; usije "baa medi" akakutajia jina lake ukachukulia ndilo lenyewe. Anyway, for the sake of reference and identification for a while it is OK ila yanapokuja maswala ya kisheria unahitaji kufanya ka-research kujua jina halisi la baa medi. Hao wa-Hong Kong kwenye passports zao wanakuwa na jina lipi; fake au lile la kwao/lenyewe?
 
Sehemu kama Marekani kubadilisha jina ni jambo la kawaida tu. Wengi wanabadilisha kisheria.

Tena si Wachina tu.

Ukiangalia historia ya Hollywood, wacheza sinema wengi walibadilisha majina yao.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Sehemu kama Marekani kubadilisha jina ni jambo la kawaida tu. Wengi wanabadilisha kisheria.

Tena si Wachina tu.

Ukiangalia historia ya Hollywood, wacheza sinema wengi walibadilisha majina yao.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Shukrani Mkuu. Ndio maana nimekuwa nikijiuliza jina kama Bill (William); Joe (Joseph); Bob (Robert); n.k. yanatumiwa hadi na viongozi utadhani wasanii! Kumbe ni official.
 
Shukrani Mkuu. Ndio maana nimekuwa nikijiuliza jina kama Bill (William); Joe (Joseph); Bob (Robert); n.k. yanatumiwa hadi na viongozi utadhani wasanii! Kumbe ni official.
Hizo ni aina za kufupisha majina, au alternate names.

Wamarekani wana tabia ya kutopenda formalities.

Na hata majina wanatumia zaidi hayo ya Bill, Andy, Joe, Bob etc.

Sasa hicho ni kitu tofauti na kubadiki jina.

Mtu anaitwa Kwan Fai Chang. Kikristo anaitwa Andrew Chang. Kimarekani anaitwa Andy Chang.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mzuqa

Yani wote majina yao ya mwanzo ni ya Kiingereza na Kiyahudi (Anglo-Hebrew). Uingereza kweli iliwainfluence hawa watu.

Wareno nao hatari, japo Ufilipino Kireno siyo kwa sana lakini kwenye majina yao ni ya Kireno.

Sasa hapo Angola dah yani karibu wote wanaongea Kireno na majina ya Kireno. Utakuta jitu jeusi kama kwenye avatar Picha yangu anajiita Antonio Da Costa
Hata ukiitwa Chogo Mwarobaini,au ukaitwa David Cameron,
What difference does it make,kama ni fukara ni fukara tu,cha muhimu,hiyo influence ya kikoloni,mnaitumiaje kujiletea maendeleo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mtaani kwetu, kuna mgumba ameinasa mimberi....
Basi sio kutema mate mtaa mzima na akwishi kuuliza majina ya watoto kama akina Kaundime, Chausiku, Kasindye, nohuku kijijini
Sio mgumba huyo.
 
Hivi mnajua kuna wandengereko visiwa vya Fiji!?? Nilishangaa sana wawalisombwa na wareno niaka ya 1500 wa
 
Muwe mnatembelea Quora hata mara mbili kwa wiki mtajifunza mengi.

Hong kong wanazungumza kiingereza na kale ka nchi ni kama Western country in a east side! Kapo kama Manhattan yani kaeneo chenye majengo ni kadogo sana na hawaishi kikomunisti kama mainland.

Hospital nyingi ni za makanisa na watu kutoka Western kama ilivyo Philippines.
Si ajabu kumkuta mtoto wa miaka mitatu anazungumza ki-hong kong kwa tabu ila anaweza kiingereza
Sio kweli bana. Wana maisha ya western lakin wanaongea kichina kama kawaida na kiingereza pia. Hospital gan ya kanisa victoria au
 
Sio kweli bana. Wana maisha ya western lakin wanaongea kichina kama kawaida na kiingereza pia. Hospital gan ya kanisa victoria au
Hong Kong wengi hawazungumzi Kichina wanazungumza Kikantonizi.

Sio ya kanisa za makanisa! Hong Kong kuna mashirika mengi sana ya Kikristo yanayoendesha huduma za kijamii.
Nenda hata leo hii ukajionee, na hata ukienda uphilipino ni hivyohivyo.
 
Sasa hicho kikantoniz ni kihind mzee? Mi naenda hong kong kila baada ya miez 2 chief huu ni mwaka wa 13. Kwa taarifa yako hicho kikontoniz unachosema ndicho kinachozungumzwa na wachina kwa 95% hao jamaa na jimbo lote la guangdong mpaka macau ni jamii moja. Hicho kiingereza wanakiongea watu wakiwa official na mara chache wanafunz. Na kwa taarifa yako mhongkong wanapewa uraia wa daraja la pili uingereza so wanapenda kujiona wao wameendelea zaid kuliko wa mainland.
 
Swali Zuri. Ila wa Spanish huwa hawako serious in general. Ni wavivu na hupenda sana starehe. Legevu legevu. Labda hii nature yao ilianza tangu longtime. Sijui lkn.
Walegevu walegevu kama Professor wa La Casa De Papel
 
Sasa hicho kikantoniz ni kihind mzee?
Ni lugha kama ilivyo kiswahili.

Mi naenda hong kong kila baada ya miez 2 chief huu ni mwaka wa 13.
Nimetukana huku nilipo Mungu anisamehe.

Kwa taarifa yako hicho kikontoniz unachosema ndicho kinachozungumzwa na wachina kwa 95% hao jamaa na jimbo lote la guangdong mpaka macau ni jamii moja. Hicho kiingereza wanakiongea watu wakiwa official na mara chache wanafunz. Na kwa taarifa yako mhongkong wanapewa uraia wa daraja la pili uingereza so wanapenda kujiona wao wameendelea zaid kuliko wa mainland.
Ungekuwa karibu yangu nakupiga kofi alafu nachanganya mbariga zangu.
.
Mainland watu wengi wanazungumza Mandarin nenda hata Mlimani kinafundishwa vyuo vinafunguliwa Tarehe 1.

Cantonese ni lugha ingine tofauti na Mandarin kwa hiyo next time inabidi ujiongeze
 
Ndio walitawaliwa na uingereza lakini cha kushangaza mbona si wakristo ila jamii iyo ni ngumu sana kuiga. Ufilipino ilitawaliwa na Wareno siyo na Uispania

Kwani Waingereza walieneza dini bwashee.?
 
Ni lugha kama ilivyo kiswahili.

Nimetukana huku nilipo Mungu anisamehe.

Ungekuwa karibu yangu nakupiga kofi alafu nachanganya mbariga zangu.
.
Mainland watu wengi wanazungumza Mandarin nenda hata Mlimani kinafundishwa vyuo vinafunguliwa Tarehe 1.

Cantonese ni lugha ingine tofauti na Mandarin kwa hiyo next time inabidi ujiongeze
Brother watu wote wa guangdong provence wanaongea kikontonese. Hilo jimbo ni kuanzia wuhan guanzhou shenzhen. Baoan nk. Miji ya hong kong na macau ni sehem ya hilo jimbo sema wao mmoja katawaliwa na muingereza na mwingine mreno. Kingine mzee nakuambia hiyo lugha inazungumzwa na 95% ya wachina. Ukienda beijing shaghai fujian sujui sanya wote lugha ni hiyo mzee. Mandarin inazungumzwa kwa sehem huku karibu na india huku. Na wale waighur wana lugha yao. Lakin kontonee ni kama kiswahili . Nadhan shida yako ni kutokujua hongkong ni china ni kama Taiwan ni china kilichobadilika ninan alikutawala wakat falme za china zinaanguka. Lakin tamadun tabia ni zile zile. Bahat nzur mi naiongea hiyo lugha na nimeenda mikoa mingi tu huko ndan kabisa. So usitukane tena
 
Back
Top Bottom