Brother watu wote wa guangdong provence wanaongea kikontonese. Hilo jimbo ni kuanzia wuhan guanzhou shenzhen. Baoan nk. Miji ya hong kong na macau ni sehem ya hilo jimbo sema wao mmoja katawaliwa na muingereza na mwingine mreno. Kingine mzee nakuambia hiyo lugha inazungumzwa na 95% ya wachina. Ukienda beijing shaghai fujian sujui sanya wote lugha ni hiyo mzee. Mandarin inazungumzwa kwa sehem huku karibu na india huku. Na wale waighur wana lugha yao. Lakin kontonee ni kama kiswahili . Nadhan shida yako ni kutokujua hongkong ni china ni kama Taiwan ni china kilichobadilika ninan alikutawala wakat falme za china zinaanguka. Lakin tamadun tabia ni zile zile. Bahat nzur mi naiongea hiyo lugha na nimeenda mikoa mingi tu huko ndan kabisa. So usitukane tena