Nashauri awamu ya sita agombee Rais Mstaafu Ndg. Jakaya Kikwete

Huyu si ndiye kutuachia huu msala? Apumzike tu,tupo wengi tunaoweza kuchukua nafasi hiyo
 
unatataka tuwalee wapigaji wa pesa serikalini unataka tuwalee wahudumu hospitali maofisini kujiona wao ni maboss kuliko kuwahudumia wananchi unataka tuwalee wafanyabiasha wezi na kuibia serikali mapato unataka tuwalee wauza unga cocain na wazazi walie vijana wao kuharibika kwa kuvuta hatumtaki kikwete kabisa labda awe meya wa jiji la dar. unajua au hujui mh makufuli miaka yake 5 kazi yake ilikuwa kuondoa uchafu huo kapoteza mda mwingi sana kwa uozo huo leo unataka kurudisha . yupo majaliwa nyayo ya makufuli
 
Hizo akili unafikiri wanazo, mtoa post ameshasahau kabisa kwamba alimuhutaji Lissu.
Kwake Bora aendelee kutawaliwa na ccm lakini sio upinzani
Hawa wachumia tumbo ni htr sn
 
Unajua deni la taifa alilikuta kiasi gani na miundo mbinu ipi ilijengwa?
 
Umeona eeh
Na hii ilikuwa inaenda kutokea ya kubaki madarakani , watanzania wote walikuwa wameufyata , Pengine Mungu kaamua kuwasimamia wabongo ,kila kitu ni mipango ya Mungu
 
Pumbavu atasubiri sana. Tutaomba hadi mizimu ikatae hilo chaguo. What nonsense. Nilichogundua watanzania wapenda haki ukweli wanaosimamia haki wakiomba pamoja jambo liwe litakuwa, jambo lisiwe basi halitakua kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…