kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Zitto ni [emoji216]Nos, 2 & 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto ni [emoji216]Nos, 2 & 5
😃 Hapo naona umeweka eneji drink, gongo, sumu, maziwa na juiceAchana na JK lakini kwangu mimi naona wafutao wanaweza badili maisha yetu yakawa bora zaidi
1. Makamba January
2. JAFO
3. PROF kabudi
4. Lissu
5. Zitto
Mwenyewe anajua, kura/ushindi wake hakuna wa kuulinda!Habari Kama hizi Lissu akiona anajisikiaje? Au yeye hastahili kuwa Rais?
Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana.
Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na walipanda madaraja, ajira zilitolewa bila kutuma maombi. Kwa ufupi, pesa ilikuwepo mtaani.
Hata pale alipoenda kufanyiwa operesheni ya tezi dume hakuna aliyemuombea kifo.
Mungu ndiye muweza wa yote, nakuomba ndg JK pindi ikifika muda muafaka, chukua fomu upeperushe bendera ya CCM kuwania urais.
Nendeni na January Makamba mtanishukuru enyi watanzania.
Huyo Kikwete muda wake umeshaisha.
Huyu ambae sio adui kafanya nini cha maana cha kutustawisha nchi?Wewe HUNA AKILI NA SIDHANI KAMA HATA UNA UELEWA. KIKWETE NI ADUI WA PESA ZA TANZANIA. Kama unampenda sana Mwalike kwako unywe naye Kahawa au Mfanye Rais wa Familia yako. Kikwete aliiharibu sana hii nchi na siwezi hata kumfikiria yeye kuwa waziri acha Urais. Thank God HAITOWEZEKANA TENA NA PENGINE NI KUANZA KUFANYA MAOMBI ASIJE TOKEA RAIS KAMA KIKWETE TENA TANZANIA HII.
Misifa huyo na ni bingwa wa kuficha tabia zake halisi,tutarudi kulekule kwa Jiwe.Sasa unaambiwa huyo Mwigulu ndio one of the best Ministers so far kwenye balaza la mawaziri
Msikivu, hasie na majigambo , mwenye huruma na msaada mkubwa kwa wabunge wenzie na wananchi very humble and down to earth sio hivyo mnavyodhania
don’t judge the book by its cover , tusimjaji mtu kwa kumuangalia sura yake , Yule ana utu sana ( He is a human )
Makamba ni muungwana na kakulia ikulu sio mshamba wa madaraka,ni mtu approachable na anaeshaurika ,sampo za Mwinyi wa Zanzibar ,huyu anafaa japo sina imani nae kwenye kuamini kwenye demokrasia na taasisi zake but ni nafuu kuliko the rest.Achana na JK lakini kwangu mimi naona wafutao wanaweza badili maisha yetu yakawa bora zaidi
1. Makamba January
2. JAFO
3. PROF kabudi
4. Lissu
5. Zitto
Hamnaga akili watu kama ninyi,mtu anayekuwepo mnaponda akiondoka mnamkumbuka, waTanzania akili hamna hata kidogo,kwa jinsi ninavyo wajua hata mimi ningekua Rais nisingejali maneno ya kila mmoja,ningepambana tu kukuza uchumi na kuondoa makando kando kama anavyo fanya JPM.Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana.
Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na walipanda madaraja, ajira zilitolewa bila kutuma maombi. Kwa ufupi, pesa ilikuwepo mtaani.
Hata pale alipoenda kufanyiwa operesheni ya tezi dume hakuna aliyemuombea kifo.
Mungu ndiye muweza wa yote, nakuomba ndg JK pindi ikifika muda muafaka, chukua fomu upeperushe bendera ya CCM kuwania urais.
Kachukue posho yakoSasa unaambiwa huyo Mwigulu ndio one of the best Ministers so far kwenye balaza la mawaziri
Msikivu, hasie na majigambo , mwenye huruma na msaada mkubwa kwa wabunge wenzie na wananchi very humble and down to earth sio hivyo mnavyodhania
don’t judge the book by its cover , tusimjaji mtu kwa kumuangalia sura yake , Yule ana utu sana ( He is a human )
Kwa kawaida ukiwa madarakani watu wataona yako. Angalia yaliomtokea Trump , Sarkozy nk . Shida ya viongozi wa ki Africa ni kutokutaka kukosolewa hata pale leadership yao inapokuwa na mashaka. Ref kikao cha Rais wetu na wastaafu Dar. Aliwaomba wasimkosoe wasubiri amalize kwanza utumishi wake. Sasa kweli, watu wakusubiri miaka kumi kukuonyesha mapungufu yanayoweza kurekebishika ?!Hamnaga akili watu kama ninyi,mtu anayekuwepo mnaponda akiondoka mnamkumbuka, waTanzania akili hamna hata kidogo,kwa jinsi ninavyo wajua hata mimi ningekua Rais nisingejali maneno ya kila mmoja,ningepambana tu kukuza uchumi na kuondoa makando kando kama anavyo fanya JPM.
Huku Tanzania ni sehemu pekee mtu anachukua neno kutoka sehemu moja bila ushahidi analipeleka mahala pengine na hajui chochote
Huku Tanzania ni sehemu pekee anaweza kupita mtu anatembea,majitu yako kijiweni yakaanza kusema "mnamuona huyo " ana ngoma....hawajawahi kumpima wala hawamjui,ukimbana mlopokaji anakwambia si fulani alikuaga jamaa yake!! Alishakufa, uPUMBAVU wa baadhi ya wananchi hapa kwetu ni mkubwa sana usiyo na maana yoyote.
Ungejua kikwete wako alifanya nini nchi hii na siku za mwisho ni kama alikuwa akiikomoa! Nakumbuka siku moja alisema ‘Saburi yenu mtakaobaki serikalini mie sijali.....’ usingeleta andiko LakoPamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana.
Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na walipanda madaraja, ajira zilitolewa bila kutuma maombi. Kwa ufupi, pesa ilikuwepo mtaani.
Hata pale alipoenda kufanyiwa operesheni ya tezi dume hakuna aliyemuombea kifo.
Mungu ndiye muweza wa yote, nakuomba ndg JK pindi ikifika muda muafaka, chukua fomu upeperushe bendera ya CCM kuwania urais.
Kama unampenda Kikwete nenda kanywe naye kahawa. Magufuli ni x 100,000,000,000,000,000 kuliko kikwete aliyeuza nchi na kuharibu vijana kwa madawa ya kulevya. Sasa nchi inajengwa na tunaona ikijengwa. Hili ni jambo kubwa sana. Kikwete mfanye awe rais wa familia yako. MAGUFULI ATOSHA HAKUNA MWINGINE.Huyu ambae sio adui kafanya nini cha maana cha kutustawisha nchi?
Huoni JK ni bora mara 1000 kuliko mr kujimwambafy ,,ni rahisi kuweka systems nzuri za uongozi kwa Jk kuliko kwa kiongoz wa malaika
Jk alithubutu hata kuanza mchakato wa katiba mpya sema kuna mbwa koko walimtisha hasa hofu ya maccm kupoteza madaraka.
Itawezekana tuu maana huko ccm hakuna mtu wa maana kwa sass wa kumzidi JK.Kidogo J.Makamba na Mwinyi ambae tayari yuko Zenji