Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwani jiwe amefanyeje?Angalau JK kwa kipindi cha mpito hata miaka 5 wakati nchi inatibu majeraha yalioachwa na Jiwe. Nchi irudi kwenye umoja wa kitaifa. Kuliko ilivyoparaganyika hivi!
Mbona mnatuacha njia panda.