Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa katili sana! Ana viashiria vyote vya udikiteta kabisa! Mungu atuepushe kabisa na kikombe hicho.Yule jamaa wa kitambaa shingoni, anajipanga sana!
Unajuaje?"Hata pale alipoenda kufanyiwa operesheni ya tezi dume hakuna aliyemuombea kifo."
labda tumuongezee maombi ya kutwaliwa haraka na malaika mkuuMbona kuna mswada aliyepo aongezewe
Akagombee Urais wa Singida United timu ifufuke.Yule jamaa wa kitambaa shingoni, anajipanga sana!
Hapa ndio nashangaa Sana, Lissu hafai Tena?nendeni na January mtoto wa mzee Makamba
Mbowe hawezi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa namna yeyote ile. Akiwa yupo upinzani au akiwa yupo CCM, haiwezekani.Rais ajae ni Majaliwa Kassim Majaliwa na Waziri wake Mkuu atakua Freeman Mbowe. Save this
Yaan Kama kunawatu ni wanafik duniani ni watanzania mtu anathubutu kusema kikwete arudi madarakani Yaan wanasahau wale viongozi wao njaa kali walivyokuw wanambeza hadharani kwamba hafai Mara Hana msimamo, Hakai Tanzania akatulia anasafiri kilacku Mara nchi ilikuw masikini twiga wanabebwa kwa ndege na kupelekwa nje ya nchi.
Alafu Leo et Bora arudi Yaan celew ni hamna ubongo mkumbuke maneno yenu au.... Kiufupi mtake mctake Rais magu Anaendelea na atapitishwa mwngne kutoka ccm wakati ukifika.
kiufupi tuacheni ubishi Hakuna mtu yeyote kutoka upinzani anayeweza kuongoza hii nchi hao wanapigaga lomoni tuu hamna chochote ikifika wakati wa uchaguzi wanatafuta walio hama ccm ndo wanawaweka wagombee urais ..inaonyeshaje walivyo hawajiamin naishia hapo tuu
Nipeni chai kwanza
Hahahahahahahahahahaha.......Akagombee Urais wa Singida United timu ifufuke.
Kwanini tusimuongeze mitano mingine aliyepo?