Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,936
- 4,947
Hivi kwenye Urais wa Tanzania awamu ni nini!?
Awamu hii tumepigwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwenye Urais wa Tanzania awamu ni nini!?
Akagombee Urais wa Singida United timu ifufuke.
Hizo akili unafikiri wanazo, mtoa post ameshasahau kabisa kwamba alimuhutaji Lissu.Issue ya nchi hii haijawahi kua kikwete issue kuu kwa sasa ni mfumo ndio maana watz walishaamua kuipumzisha ccm tangu awamu ya pili ya Kikwete....
Hiki chama ccm ni cha kishetani. Bila kukiondoa madarakani nchi itaendelea kupotea
biashara haramu za UNGA wa sembe itashamiri.
Watu wa humu ni kuwaonea tu huruma. Bado wanatamani ccm uendelee madarakani. Mtoa post kishasahau kwamba Lissu nae anastahili kupewa uraisiWatanzania tumekosa akili kiasi hichi
Hamuwazi balaa alilofanya huyu bwana bado mnataka balaa lingine tena
Hakuna anayewaza Sasa kwamba ndiyo muda wa kutafuta katiba mpya
5 tenaaaPamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana.
Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na walipanda madaraja, ajira zilitolewa bila kutuma maombi. Kwa ufupi, pesa ilikuwepo mtaani.
Hata pale alipoenda kufanyiwa operesheni ya tezi dume hakuna aliyemuombea kifo.
Mungu ndiye muweza wa yote, nakuomba ndg JK pindi ikifika muda muafaka, chukua fomu upeperushe bendera ya CCM kuwania urais.
Kosa lake lilikuwa kulifanyia UNAFIKI katiba mpya, pale wahafidhina walipomuweka sawa .Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana.
Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na walipanda madaraja, ajira zilitolewa bila kutuma maombi. Kwa ufupi, pesa ilikuwepo mtaani.
Hata pale alipoenda kufanyiwa operesheni ya tezi dume hakuna aliyemuombea kifo.
Mungu ndiye muweza wa yote, nakuomba ndg JK pindi ikifika muda muafaka, chukua fomu upeperushe bendera ya CCM kuwania urais.
Suala la msingi katiba mpya iundwe kabla ya mambo mengine yote na tume iwe huru ndiyo watu waende kwenye uchaguzi Kama kweli lisemwalo lipoWatu wa humu ni kuwaonea tu huruma. Bado wanatamani ccm uendelee madarakani. Mtoa post kishasahau kwamba Lissu nae anastahili kupewa uraisi
Sure believe itJamani usinisikitishe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] namkubali sana huyu mtu
Acha ujinga na kujipendekeza.Yaan Kama kunawatu ni wanafik duniani ni watanzania mtu anathubutu kusema kikwete arudi madarakani Yaan wanasahau wale viongozi wao njaa kali walivyokuw wanambeza hadharani kwamba hafai Mara Hana msimamo, Hakai Tanzania akatulia anasafiri kilacku Mara nchi ilikuw masikini twiga wanabebwa kwa ndege na kupelekwa nje ya nchi.
Alafu Leo et Bora arudi Yaan celew ni hamna ubongo mkumbuke maneno yenu au.... Kiufupi mtake mctake Rais magu Anaendelea na atapitishwa mwngne kutoka ccm wakati ukifika.
kiufupi tuacheni ubishi Hakuna mtu yeyote kutoka upinzani anayeweza kuongoza hii nchi hao wanapigaga lomoni tuu hamna chochote ikifika wakati wa uchaguzi wanatafuta walio hama ccm ndo wanawaweka wagombee urais ..inaonyeshaje walivyo hawajiamin naishia hapo tuu
Nipeni chai kwanza
Tuache na Chuma chetu,Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana.
Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na walipanda madaraja, ajira zilitolewa bila kutuma maombi. Kwa ufupi, pesa ilikuwepo mtaani.
Hata pale alipoenda kufanyiwa operesheni ya tezi dume hakuna aliyemuombea kifo.
Mungu ndiye muweza wa yote, nakuomba ndg JK pindi ikifika muda muafaka, chukua fomu upeperushe bendera ya CCM kuwania urais.
eti tunataka Rais asiyechekaYaan Kama kunawatu ni wanafik duniani ni watanzania mtu anathubutu kusema kikwete arudi madarakani Yaan wanasahau wale viongozi wao njaa kali walivyokuw wanambeza hadharani kwamba hafai Mara Hana msimamo, Hakai Tanzania akatulia anasafiri kilacku Mara nchi ilikuw masikini twiga wanabebwa kwa ndege na kupelekwa nje ya nchi.
Alafu Leo et Bora arudi Yaan celew ni hamna ubongo mkumbuke maneno yenu au.... Kiufupi mtake mctake Rais magu Anaendelea na atapitishwa mwngne kutoka ccm wakati ukifika.
kiufupi tuacheni ubishi Hakuna mtu yeyote kutoka upinzani anayeweza kuongoza hii nchi hao wanapigaga lomoni tuu hamna chochote ikifika wakati wa uchaguzi wanatafuta walio hama ccm ndo wanawaweka wagombee urais ..inaonyeshaje walivyo hawajiamin naishia hapo tuu
Nipeni chai kwanza
dahSure believe it
hhahhhahhaaahahaha "kwa wabunge wenzie,kwenye balaza la mawaziri" ..............mwigulu huyuhuyu mwenye mdomo mchafu..................samahani tushushe hapahapa.Sasa unaambiwa huyo Mwigulu ndio one of the best Ministers so far kwenye balaza la mawaziri
Msikivu, hasie na majigambo , mwenye huruma na msaada mkubwa kwa wabunge wenzie na wananchi very humble and down to earth sio hivyo mnavyodhania
don’t judge the book by its cover , tusimjaji mtu kwa kumuangalia sura yake , Yule ana utu sana ( He is a human )
Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana.
Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na walipanda madaraja, ajira zilitolewa bila kutuma maombi. Kwa ufupi, pesa ilikuwepo mtaani.
Hata pale alipoenda kufanyiwa operesheni ya tezi dume hakuna aliyemuombea kifo.
Mungu ndiye muweza wa yote, nakuomba ndg JK pindi ikifika muda muafaka, chukua fomu upeperushe bendera ya CCM kuwania urais.
Huyo jamaa katili sana! Ana viashiria vyote vya udikiteta kabisa! Mungu atuepushe kabisa na kikombe hicho.
Achana na JK lakini kwangu mimi naona wafutao wanaweza badili maisha yetu yakawa bora zaidi
1. Makamba January
2. JAFO
3. PROF kabudi
4. Lissu
5. Zitto