Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

Attachments

  • images (33).jpeg
    images (33).jpeg
    36.7 KB · Views: 3
Kwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.

MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.

Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
Lile ni Machinjio mapya kwa malori na mabasi, ile kona sio nzuri kabisa hasa lori zikishafeli brake.

Kwa aina ya uendeshaji wa madereva vijana hasa kwenye malori majanga yatakuwa makubwa.
 
Hatuhamii Burundi ila Mwigulu katufundisha tununue decoder huko na tutalipia huko huko bila tozo yoyote ile.
DcoKwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.

MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.

Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
 
Lile ni Machinjio mapya kwa malori na mabasi, ile kona sio nzuri kabisa hasa lori zikishafeli brake.

Kwa aina ya uendeshaji wa madereva vijana hasa kwenye malori majanga yatakuwa makubwa.
Hili jipya halina Kona sana
 
Yeap, UKITOKEA upande wa Tanga sio? Sema haiko sharp sana
Kutokea Tanga sijaona Kona yoyote kali tena barabara imeboreshwa,kutokea Msata sijui kama kuna kona kali na barabara yake ni Pana sana.
 
Kutokea Tanga sijaona Kona yoyote kali tena barabara imeboreshwa,kutokea Msata sijui kama kuna kona kali na barabara yake ni Pana sana.
Kutokea Mandela pale kijijini kwenda darajani(kama unatoka Tanga ) kuna down...na ule upande wa pili wa ile kambi ya jeshi Kihangaiko..kuna vijikona vya kiaina..ngoja tuone likiisha.
 
Huo ni ujuha, si limejengwa kwa kodi zetu? Tulipie mara mbili?
Mshahara ,unakatwa Kodi ,(pay) ukiwekwa Bank wanakata Tozo .
Ukumtumia bibi Yako yakuununua sabuni wa nakata Tozo. michango ya hifazi ya jamii nayo inatokana na mishahara ilio katwa Kodi, siku yakuchukua mafao Wana kata Kodi.
 
Back
Top Bottom