Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #41
Chato iwe sehemu ya Makumbusho na Kila mwaka Wafanyakazi walazimishwe kwenda hapo, itasaidia kuongeza kipatoItasikia na kitonga waweke tozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chato iwe sehemu ya Makumbusho na Kila mwaka Wafanyakazi walazimishwe kwenda hapo, itasaidia kuongeza kipatoItasikia na kitonga waweke tozo
Hizo hela zako huko bank unazoogopa hata kuzigusa wanazotoza wao tozo wewe umezizungusha zikakuingizia bei gani mpaka ukapata faida ndo wakazitoza hiyo tozo?Huo ni ujuha, si limejengwa kwa kodi zetu? Tulipie mara mbili?
AiseeKwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.
MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.
Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
Daraja jipya liko juu kuliko la zamani,obvious ule mteremko wa kutisha umepunguzwa sana. Kona ni inevitable labda daraja lingewekwa juu ya ofisi za idara ya maji au barabara ingepita ndani ya kambi. For once tuheshimu taaluma za watu.Kutokea Mandela pale kijijini kwenda darajani(kama unatoka Tanga ) kuna down...na ule upande wa pili wa ile kambi ya jeshi Kihangaiko..kuna vijikona vya kiaina..ngoja tuone likiisha.
Na Mimi nasema hivi kama kutakuwa na 50kph zone TOZO isiwepo kabisa.Kama kutakua na Kona basi TOZO ipungue
Ntakuwa napita lile la zamaniKwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.
MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.
Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
Sparta.Sory mkuu huna jingine zaidi ya hilo?
Kweli kabs kwasabb wameamua kukusanya tozo bas wakusanye kikamilifu hata pale daraja la ruvu waangalie namna watakusanya tozoKwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.
MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.
Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
Yah itakuwa buku tu hii iko ndani ya uwezo wa kila mnyongeKama kutakua na Kona basi TOZO ipungue
HahahahahahahahaYah itakuwa buku tu hii iko ndani ya uwezo wa kila mnyonge
Agreed 💯vituo vya daladala waweke tent za kujikinga jua mtu akisimama kusubiri usafiri alipie tozo za kununua ma vieite mapya na kuongeza posho za watawala.
Ni chanzo kizuri sana kileKweli kabs kwasabb wameamua kukusanya tozo bas wakusanye kikamilifu hata pale daraja la ruvu waangalie namna watakusanya tozo
Hili nalo mkalitizameVijiwe vyote vya boda boda kila siku vilipe tozo bukubuku.
Tutalipa tu aiseeeee hatuwezi kuacha kwenda nyumbaniTena Nov na Dec watapiga hela sana
Walifanyie kazi hilo wazo
Ova
Buku kupita pale pa zamani maana Kuna nyani utakua unafanya utalii wa ndaniNtakuwa napita lile la zamani
Hahahahaha 😝Na Mimi nasema hivi kama kutakuwa na 50kph zone TOZO isiwepo kabisa.