Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

Kwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.

MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.

Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu

Madaraja hayalipiswi kwasababu ya tozo lakini wanalipisha ili waweze kulipa deni. Hivyo tusikurupuke kuiga iga hata kigamboni nia ya kulipisha ilikuwa na ni kulipa deni + -10%.

Ukweli ni kwamba kama Watanzania tunataka tozo zipungue ni lazima tuombe risiti ili mfuko wa serikali upungue lakini serikali inabidi iongeze uzalishaji hasa kwenye kilimo na kupunguza matumizi
 
Kwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.

MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.

Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
Elli, mshauri Zakayo Mchungaji Pastor Mwigulu Nchemba aweke tozo kuvuka kwenye madaraja yote nchini. Anaachaje hela inapotea kizembe namna hiyo?
 
Wengi hupita wakiwa wamesinzia.
Linapokuja suala la kuijenga nchi lazima ijengwe kwa jasho na damu! Viongozi hawana magari mazuri; VX mpya zimetoka tunazihitaji sana kwa viongozi wetu. Wasafiri wawe wamelala au wamekufa fedha ya serikali lazima ilipwe.
 
Lakini cha kushangaza rejea utafiti wa TWAWEZWA hawa wako bize na Yanga na Simba
 
Kwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.

MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.

Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
Lisiitwe Wami , liitwe Mwigulu au Samia
 
Kwakua tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.

MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.

Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
Daraja la kigamboni na la tanzanite ni madaraja ya jiji na 90% ya watumiaji ni wakazi wa jiji tofauti na la wami watumiaji ni wafanyabiashara na linaunganisha biashara kati ya nchi za afrika mashariki na syo daraja la kupiga selfie
 
Back
Top Bottom